Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Habarini,

Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi.

Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani.

Cha ajabu unakuta hali hiyo haikuwa hivyo kwako tangu mwanzo, unakuta mwanzoni ulikuwa unapata wanawake kirahisi. Baada ya mda hamna mdada utamtongoza atakuchukulia serious

Hivyo swala la kuoa kwako wewe mwanaume linakua gumu, umri unaenda, huoi, ukiulizwa na ndugu na marafiki mbona huoi unasingizia kuna mambo flani madogo madogo hayajakaa vizuri kumbe ukweli unaujua mwenyewe.

Kwenye kupata mwanamke wa kawaida akuvulie nguo unakuta hata pesa, nyumba na gari havifanyi kazi. Unaishia kuliwa pesa ila mzigo hupewi.

Wajuvi wa mambo mtujuze LIKUD Mshana Jr
 
Wanawake wote hawa wanatafuta wanaume wa kuwaoa wengine mpaka wanajishikiza kwenye wanaume waliooa tayari.

Tatizo lako nini?
 
Back
Top Bottom