MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Kama sio federal crime hawaruhusiwi; Marekani, kama kitu hakijamtakwa kuwa ni Federal, moja kwa moja kinaangukia kwenye Local. Na swali langu halikuwa hilo. Niliuliza nani ana mandate ya kuchunguza federal crimes in USA? Na nani ana mandate ya kuchunguza crimes hapa TZ?Hakuna cha federal crimes wala nn Kuna makosa mtu ukifanya yakiwa yana hatarisha usalama wa marekani lazima FBI waingilie kati lakini sio kucategorize makosa....
Hiyo mbona inajulikana ndo mfumo wao waliojiwekea kwenye uchaguzi mbona tumeona hata Biden alipitia hiyo hatua....
Kwa hiyo federal crime ni nini?Kama sio federal crime hawaruhusiwi; Marekani, kama kitu hakijamtakwa kuwa ni Federal, moja kwa moja kinaangukia kwenye Local. Na swali langu halikuwa hilo. Niliuliza nani ana mandate ya kuchunguza federal crimes in USA? Na nani ana mandate ya kuchunguza crimes hapa TZ?
Kwa USA, Federal Crimes ni makosa yanayokatazwa kwa sheria ya Bunge la Marekani; hayahusiani na makosa ya kimajimbo.Kwa hiyo federal crime ni nini?
Hapa bongo mwenye mandate ya kuchunguza makosa ambayo haswa ni ya jinai ni DCI ambacho ni kitengo kipo ndani TPFKwa hiyo federal crime ni nini?
Mm nimeelewa hapo hizo federal crimes zimewekwa hivyo ili inapofikia level ya kuprosecute kusiwe na mkanganyiko ndo maana sheria zao ziko hivyo lakini sio kwenye nyanja ya ulinzi hapo tutabishana mpaka basiKwa USA, Federal Crimes ni makosa yanayokatazwa kwa sheria ya Bunge la Marekani; hayahusiani na makosa ya kimajimbo.
View attachment 2196939
Kwa mfano mtu atege bomu halafu akamatwe.....na lengo lake lilikuwa ni kuua watuKwa USA, Federal Crimes ni makosa yanayokatazwa kwa sheria ya Bunge la Marekani; hayahusiani na makosa ya kimajimbo.
View attachment 2196939
Hiyo ni federal crime. FBI watafanya hiyo kazi, na hata mashtaka yake, yatapelekwa kwenye federal court. Hata kama amekamatwa na NYPD, bado atakabidhiwa kwa FBI, maana ndio wenye mamlaka ya kuchunguza makosa ya kitaifa; na yapo mengi tu. Sio yote ni ya ugaidi na kuua watu. OJ Simpson alituhumiwa kuua watu wawili, lakini yalikuwa makosa ya Los Angeles..... FBI hawakuhusika kabisa.Kwa mfano mtu atege bomu halafu akamatwe.....na lengo lake lilikuwa ni kuua watu
Hilo linakuwa ni kosa gani?
Hapa ndipo unapo-miss bigger picture. Mi5 ni Domestic Intelligence Service ya UK, lakini inafanya kazi sawa na Intelligence Bureau ambayo ni sehemu ya FBI i.e Mi5 inafanya sehemu ya kazi ya FBI.Tuangalie waingereza ambao ndo kiingereza cha kwao tujaribu hata kugoogle tuone
MI5 wanaiitaje na MI6 wanaiitaje ili tuone security service ina maana gani na intelligence service ina maana gani sio tunabishana kwenye vitu ambavyo havina msingi
CID ndo nnHiyo ni federal crime. FBI watafanya hiyo kazi, na hata mashtaka yake, yatapelekwa kwenye federal court. Hata kama amekamatwa na NYPD, bado atakabidhiwa kwa FBI, maana ndio wenye mamlaka ya kuchunguza makosa ya kitaifa; na yapo mengi tu. Sio yote ni ya ugaidi na kuua watu. OJ Simpson alituhumiwa kuua watu wawili, lakini yalikuwa makosa ya Los Angeles..... FBI hawakuhusika kabisa.
Na ndio hapa wanaanza kufanana na CID ya Tanzania, linapokuja swala la makosa ya kitaifa, wao ndio wachunguzi wakuu.
Hayo yote unayoongea sio kwamba sijui. naelewa...Hapa ndipo unapo-miss bigger picture. Mi5 ni Domestic Intelligence Service ya UK, lakini inafanya kazi sawa na Intelligence Bureau ambayo ni sehemu ya FBI i.e Mi5 inafanya sehemu ya kazi ya FBI.
Sasa mbona unakuja kule kule ambapo nimesema kwamba ukifanya makosa ya kuhatarisha usalama wa marekani lazima FBI wahusike lakini kwenye masuala ya prosecution ndo kuna hizo federal crimes n.kHiyo ni federal crime. FBI watafanya hiyo kazi, na hata mashtaka yake, yatapelekwa kwenye federal court. Hata kama amekamatwa na NYPD, bado atakabidhiwa kwa FBI, maana ndio wenye mamlaka ya kuchunguza makosa ya kitaifa; na yapo mengi tu. Sio yote ni ya ugaidi na kuua watu. OJ Simpson alituhumiwa kuua watu wawili, lakini yalikuwa makosa ya Los Angeles..... FBI hawakuhusika kabisa.
Na ndio hapa wanaanza kufanana na CID ya Tanzania, linapokuja swala la makosa ya kitaifa, wao ndio wachunguzi wakuu.
Criminal Investigation Department.... ndio office ya DCI, au ukisikia "Askari Kanzu" ndio haoCID ndo nn
Mkuu USA wana Imagery and Mapping Intelligence Service, inaitwa National Geospatial-Intelligence Agency. Ndio wanafanya mambo ya Satellite na Mapping.
In total US wana intelligence agencies/service 17, na zipo very specialized kwenye maeneo yao.
Sasa kama NSA Wana deal na non human source intelligence unabisha nn kutumia satellites.....Mkuu USA wana Imagery and Mapping Intelligence Service, inaitwa National Geospatial-Intelligence Agency. Ndio wanafanya mambo ya Satellite na Mapping.
In total US wana intelligence agencies/service 17, na zipo very specialized kwenye maeneo yao.
Wewe hauna unachojua labda ungeniambia DCI ndo ningekuelewa sasa unaniambia CID siwezi kukuelewa hata siku moja......Criminal Investigation Department.... ndio office ya DCI, au ukisikia "Askari Kanzu" ndio hao
Makosa ya kuhatarisha usalama wa Marekani ndio ya namna gani hayo? Kwahiyo kama hayahusiki na "usalama wa Marekani" FBI hawatahusika?Sasa mbona unakuja kule kule ambapo nimesema kwamba ukifanya makosa ya kuhatarisha usalama wa marekani lazima FBI wahusike lakini kwenye masuala ya prosecution ndo kuna hizo federal crimes n.k
Duh.... Yaani hujui kutofautisha kati ya Mahakama na Jaji!Wewe hauna unachojua labda ungeniambia DCI ndo ningekuelewa sasa unaniambia CID siwezi kukuelewa hata siku moja......
Sasa hao DCI wafanye nn sasa. Nilifikiri nipo na mtu anayejua kumbe haujui...
Kwani DCI inasimama Kama Directorate of Criminal Investigation au Director of Criminal Investigation....Duh.... Yaani hujui kutofautisha kati ya Mahakama na Jaji!
CID ni idara ya polisi na DCI ni cheo
Wewe ni mbishi tu....unataka kuleta siasaMakosa ya kuhatarisha usalama wa Marekani ndio ya namna gani hayo? Kwahiyo kama hayahusiki na "usalama wa Marekani" FBI hawatahusika?
Prosecution ni matokeo ya Investigation. Huwezi kusema kwenye prosecution ndio kuna "federal" lakini kwenye investigation haijalishi!
Hizo mbwembwe tu. Idi Amini FBI yake ilikuwa inaitwa "State Research Bureau", hapa kwetu kabla ya kuitwa TISS walikuwa wanaitwa "Special Branch". Swala kubwa ni majukumu gani wanafanya.Hayo yote unayoongea sio kwamba sijui. naelewa...
Sasa nataka nikuulize wewe unabisha nn....
Umeelewa kwanza security service ina maana gani wanavyosema.....
Na kwenye MI6 umeelewa intelligence service ina maana gani......