Sweden: Aliyechoma moto Quran auawa kwa kupigwa risasi

Watu waheshimu dini za watu , itapendeza
 
Kwa hiyo kwa case mezani mlipoona ameshindwa mkaamua mumsaidie siyo?

Hivi ninyi mnawaza sawasawa kweli vichwani mwenu?
 
Uislamu unapiganiwa na waumini maana Allah hana nguvu ya kujipigania
Huyo Mungu wenu mnao sema haitaji kupiganiwa na mwanadamu,kila kitu anaweza kujifanyia mwenyewe mbona hajawahi kushuka na kujenga kanisa badala yake mnategemea kukamua watu michango?
Au mbona hajawahi kushuka akajihubiri mwenyewe badala yake anawategemea wanadamu waje kutupigia kelele mitaani waki muhubiri?

Au mbona hashushi biblia kutoka mbinguni badala mnaenda kununua zilizo chapishwa na wanadamu?
 
Watu hutenda kwa niaba ya mungu! Humlingania mungu wao.
 

sababu ni biashara. maana hata mauzo ya biblia yanaliwa na waliozichapisha. Mungu hachukui hela za mauzo ya biblia. hivyo hachapishiwi yeye
 
Huyo jamaa yupo katika matukio Mengi ya kihalifu Duniani, Nina uhakika 99% humu hata hamumjui ila Kwa Chuki zenu dhidi ya uisilamu munashabikia tu

1. Alikua part of imam Ali brigade Kundi la kishia

2. Alikua part of Issa bin Maryam Kundi la kikristo

3. Alikua ni rafiki wa Jamaa aliegonga wakristo na Gari Ujerumani Christmass iliopita

Makundi yote hayo yanahusishwa na kuua watu bila hatia, ila sababu Kachoma Quran Ghafla Tu kawa mtu mzuri.

Kondoo endeleeni kupelekeshwa Tu na Mossad
 


Waziri Mkuu wa Uswidi alisema Alhamisi kuwa serikali ya kigeni inaweza kuwa ilihusika katika mauaji ya mkimbizi wa Iraqi ambaye alizua mvutano wa kimataifa kwa kuchoma Kurani kwenye maandamano ya 2023.

"Ninaweza kuhakikisha kwamba huduma za usalama zinahusika sana katika hili kwa sababu ni wazi kuna hatari kwamba kuna uhusiano na nguvu ya kigeni," Waziri Mkuu Ulf Kristersson aliuambia mkutano wa waandishi wa habari siku moja baada ya Salwan Momika, 38, Mkristo kutoka Iraq, ameuawa kwa kupigwa risasi leo 30.01.2025 kusini mwa Stockholm.
 
Wapuuzi kweli wameona albadili haifanyi kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…