Sweden kuwafukuza kwa nguvu watu wenye asili ya Iraq

Hakuna Kiumbe anaye penda kuishi nchi ya Sharia Law.
La sivyo wangekuwa wanapambana wakaishi Afghanistan.
Nashangaa mdomoni wanatangaza kufuata Sharia Law ila kiuhalisia wanaikimbia hiyo Sharia.
Ni kati ya maajabu ya Dunia.
 
Naungana na uswidi, haiwezekani kumwalika mgeni baadae aanze kukutusi, weye kafiri, funzo, Unapokwenda kwenye nchi fulani basi zingatia kwenda kwenye nchi ambazo kitamaduni mnafanana fanana, ili usiwe kero kwa wengine kimisimamo.
 
Sweden ipo Magharibi ipi na ilianzishwa vita ipi Iraq?
 
Zanzibar kanisa limechomwa na wenyewe wakristo katika jitihada zao Za kuwatapeli wazee wa kanisa Lao huko Ulaya na Marekani kuwa waislamu wanachoma makanisa Zanzibar. Ushahidi upo wala hamna aliyekamatwa kwa kuchoma kibanda kiitwacho kanisa
Ushahidi upo halafu hakuna aliyekamatwa? Upo kijiwe gani cha kahawa sheikh wangu?
 
Sasa imagine unaenda kwenye nchi ya watu, wewe mgeni halafu unaanza kuchoma makanisa yao. Bado tuendelee kuamini kwamba hi ni dini kutoka kwa Mungu? Sidhani
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1729529780967.jpg
    21.8 KB · Views: 3
Sikuhizi hao ndio wanaoongoza

Egypt na Saudi Arabia ni kati ya nchi zenye waangaliaji wengi zaidi wa Pornography, na Nchi za kiarabu ndio zinazoongoza
 
Sio kujisahau tu, hawana akili nzuri, wao wanaamini Dunia nzima ni Mali yao na yule mtu wao
Ha.. ha...
Wanaamini Dunia yote ni yao.
Mungu ni wa wao tu.
Sheria bora ni walizo ambiwa na yule mtu wao.
Wao tu ndio watu bora.
Dini bora ni yao tu.
Kila mtu ni lazima awe wa Dini yao na ni marufuku mtu kuihama Dini.
Ila wakiambiwa wachague kwa kuishi hawataki kabisa kuishi kwenye Sharia Law, wanaikimbia kama wale wa Afghan walio jazana katika Ndege ya mizigo ya USA ili kuikimbia Sharia Law.
Ni kwamba wanazimishwa tu kuishi katika utawala wa Sharia.

Yaani mwanamke anafunikwa gubigubi kuanzia nyayoni Hadi utosini na macho yanawekewa wavu.
Ni hatari na nusu.
 
HHiz
Hizo nchi za kikafiri ni za kikristo ama??
 

Sheria law ipo Iraq au Iran. Kuna shida gani wakirudi huko?
 
Wanaolazimisha tamaduni walizokuja nazo kutoka huko kwao ni lazima watimuliwe tu. Hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…