Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

Mtani upo ndugu yangu🤣🤣🤣🤣🤣 tusalimiane @ Mkunazi Njiwa : Kuna kisa kilitokea biblia zilichomwa kule jakrata Indonesia malundo kwa malundo na sababu ilikua ndogo tu ya makosa ya kiuandishi na baadhi ya makanisa yakabimolewa.Na hakuna aliyelalamika,au hujui hiyo incident?????? Mm ni mtafiti wa dini za binadamu,na kisaikolojia nadhani misingi ya dini ys ukrsto imejengwa kwa kutolalamika wala kuitetea au kuipigania dini yao.Na uislamu umejengwa katika imani wanayoita kupigania dini kwa mitazamo binafsi mfano mzuri hicho kikundi cha Al shabab au Talban.Wakrsto wao wapo kiroho sana kuliko kimwili ndio maana hawana masharti mengi ya kimwili na waislamu wapo kiroho na kimwili ndio maana wana masharti mengi ya kimwili.Maoni yangu ndio hayo mkuu kama mtafiti wa dini za wanadamu.
 
Hivi mkuu samahani nijuulize kitu????? kumbe hakuna adithi au katika quran zimeelezea watu wanaoitwa makafir walikua wanauawa wakati wa vita huko bara Arab na asia ya kati na balkani area katika vita vya kueneza dini vya wale makhalifa wa kiarabu na wale ottoman,s.Kama walivyofanya wahispania kule bara amerika na north america na australia na indo pasific????? Nimeuliza tu kama mtafiti wa dini za wanadamu
 
Watu wamevurugwa aisee, lengo la kuchoma hivi vitabu ni ku achieve nini?
Ni kutokubaliana kiimani tu.Mfano mzuri ni hata huko nchi za waislamu wengi kama Indonesia matukio haya hutokea ila hayatangazwi mkuu...Ni watu kutokubaliana kiimani na kimapokeo ndugu yangu.
 
Mtani tupo ndugu salaam kaka [emoji120]

Unanishangaza mtani kusema kuwa watu hawakulalamika kuchomwa Biblia huko Indonesia.....[emoji15][emoji1787][emoji1787]

Biblia ni kitabu kitakatifu hata kwa hao waislam "machizi" waliokichoma moto huko...sasa huoni ni jinsi gani "wendawazimu" walivyo wengi ?!!![emoji1787]

Binafsi siwezi hata kukikanyaga kitabu cha imani cha wahindu na washinto kwani UTU WA MWANADAMU ni kuheshimu imani za wengine kwani utukufu wa mwanadamu ni mkubwa sana....

Umeongea vyema kuhusu wakristo walio wengi kujengwa" hivyo ulivyoniambia ila si lazima kila mfuata imani ya DINI nyingine awaige na asitetetee na kulalamikia pale kitabu chake cha imani kinaposiginwa.....mtani katika hoja kuntu hatuwezi kufanya "generalization" na "parallelization"...

Mtani tusisahau kuwa WENDAWAZIMU NA WAPUMBAVU wanaojificha katika vivuli vya dini wapo na wanaendelea kuzaliwa[emoji1787]

#Never give wisdom to unworthy because it will be unjust to the knowledgeable [emoji1787]
 
Hii inchi zinazounga mkono ushoga hizi Huwa zinashida Sanaa Sasa kitabu kimemkosea Nini?
 
Kweli mtani ulichoongea nakubaliana na wewe asilimia mia moja..Umedadavua vizuri i mean kisomi
 
Kweli mtani ulichoongea nakubaliana na wewe asilimia mia moja..Umedadavua vizuri i mean kisomi
Mtani tusisahau kuwa "roho za uasi" ndizo zinazowaongoza wanadamu kufanya dhulma.... mwanadamu ana thamani kubwa zaidi ya hulka za KIBAGUZI za kidini ,kikabila ,kikanda na kiwajihi[emoji1787]
Shukran kamarada[emoji106]
 
Mtani tusisahau kuwa "roho za uasi" ndizo zinazowaongoza wanadamu kufanya dhulma.... mwanadamu ana thamani kubwa zaidi ya hulka za KIBAGUZI za kidini ,kikabila ,kikanda na kiwajihi[emoji1787]
Shukran kamarada[emoji106]
Mtani una knowledge kubwa na saikolojia za wanadamu itabidi nikutafute unifundishe baadhi ya vitu.Maana mimi ni mtafiti na ninapenda kujifunza.....Nikutakie siku njema ndugu yangu a.k.a mzee wa DP🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nasikia na kule Zenj mtoto wa mzee ruksaa kwake kuchoma hiyo kitu ni ruksaa, ni wewe tu!!
 
Karibu mtani wangu [emoji120]

Naona umeniaga kwa salamu za "DPW" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ok mtani nawe siku njema amin[emoji106]
 
Kazi bure hawajui Quran imehifadhiwa vichwani mwa watu
 
Hapo ingekuwa ni mashoga ndio wamewanyiwa vitimbi pangechimbika
 
Shehe Mkuu wa Sweden inatakiwa afikishiwe ujumbe awaambie waislamu wakitulize wasiingie huo mtego ili walipuke watafutiwe sababu.
Watu wenye chuki ni kuwaacha wafe nazo.
 
Nashindwaga kuelewa Kwa nin Sweden mara nyingi wanapenda saana kuchoma hiko kitabu hadharani tena Kwa maandamano...logic kuu ni nin Zaid??..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…