Sijaipita mkuu,upimbi wangu ni upi?Mimi sio huyo unayefikiri na wala sihusiane naye.Kuhusu alichokisema hapa naikiri ni swala latafsiri yake tu ila kisheria bado sijafikia hatua ya kuvunja sheria na hata kama nitahukumiwa kwa kuvunja sheria batili basi nitajione fahari zaidiWewe pimbi bashite andoza hii post ya huyu muungwana umeipita kimya kimya kama vile hujaiona. Typical Bashite character kujifanya kipofu kwa baadhi ya mambo muhimu.
Na si ulisema umeshastaafu mbona unahangaika sana
Mkuu,inaweza kuwa mimi mwenyewe ni mgombea,inawekana nataka kufanya verification ya sera zangu.Je huamini hilo?And then what after facts finding? Unazipeleka kwa nani hizo facts? Nani analipa gharama za kuzunguka kote na kukusanya facts?
Sawa kama ni Mgombea!!Mkuu,inaweza kuwa mimi mwenyewe ni mgombea,inawekana nataka kufanya verification ya sera zangu.Je huamini hilo?
Hujajibu swali mkuu kwann sasa na s nyakati nyingne?Kwa nini una muoverate DAB?
je kama mimi ni mgombea na ninataka pia kuwapa wana kigamboni direct communication channel hata baada ya uchaguzi?Ni heri hii email yako ingekuwa
kigambonifactfinding@gmail.com
-Na izingatie ukusanyaji wa taarifa watakayopewa wagombea siyo Mbunge
Kwa sababu tunaelekea kwenye uchaguzi,Tunatka wananchi nao wawe na organised way ya kufikisha matarajio yao kwa mgombea na sio tu wagombea wanatungansera kwa ajili ya kuwapa watu msisimko ila utekelezaji unakuwa chini.Mimi naweza kuwa pia ni mmoja wa wagombeaHujajibu swali mkuu kwann sasa na s nyakati nyingne?
Facts finding Kwa manufaa ya Nani?!...hayo mahitaji ya wanakigamboni yanabadirika kila wakati,nakushauri hiyo KAZI umwachie atakayeshinda ubunge,ndio KAZI yake kuwazungukia wananchi kuchukua kero zao na kuzipereka serikalini Kwa utatuzi... wanakigamboni Kwa sasa wanasubiria October wachague Mwakilishi wa kuwasaidia na sio siku nyingi zilizopita walitoa indication ya Nani wangependa wamtume Dodoma na Trust me waliogombea wote walishafanya utafiti na Kwa SASA mchakato uko hatua nzuri na kama unawatakia mema wanakigamboni, ningekushauri uwaachie KAZI waliyokwisha ianza waimalizie.Ikifika wakati wa kampeni itakuwa kampeni ila kwa sasa ni fact finding tu.
Kwasababu watanzania wamechoka na entrepreneurs wa kisiasa..kafanye utafiti wa jinsi ya kulima mazao Bora na ufugaji ,Kwa njia hiyo utaweza kuwasaidia vijana wengi Kwa tafiti zako..Kwa SASA tafiti yako inalenga kumtafutia fursa mwanakigamboni mmoja tuu..hiyo ni wastage ya bundle..smart up.Mbona watu wana hofu za namna hii,Mimi nafahamu ninachokifanya sijui kama wewe unaelewa ulichokisema
Mkuu,mtazamo wako ni wa ajabu sana ila umenifurahisha sana.I will smart up.Je wewe ni mkazi wa kigamboni?toa maoni yako tuyafanyie kaziFacts finding Kwa manufaa ya Nani?!...hayo mahitaji ya wanakigamboni yanabadirika kila wakati,nakushauri hiyo KAZI umwachie atakayeshinda ubunge,ndio KAZI yake kuwazungukia wananchi kuchukua kero zao na kuzipereka serikalini Kwa utatuzi... wanakigamboni Kwa sasa wanasubiria October wachague Mwakilishi wa kuwasaidia na sio siku nyingi zilizopita walitoa indication ya Nani wangependa wamtume Dodoma na Trust me waliogombea wote walishafanya utafiti na Kwa SASA mchakato uko hatua nzuri na kama unawatakia mema wanakigamboni, ningekushauri uwaachie KAZI waliyokwisha ianza waimalizie.
Kwasababu watanzania wamechoka na entrepreneurs wa kisiasa..kafanye utafiti wa jinsi ya kulima mazao Bora na ufugaji ,Kwa njia hiyo utaweza kuwasaidia vijana wengi Kwa tafiti zako..Kwa SASA tafiti yako inalenga kumtafutia fursa mwanakigamboni mmoja tuu..hiyo ni wastage ya bundle..smart up.
Mimi nimependa enthusiasm yake but nadhani kaipereka sehemu isiyofaa na timing yake ni mbovu..nimemshauri akafanye tafiti ambazo matokeo yake yatatoa Ajira Kwa watu wengi (kama vile kilimo na ufugaji).kuliko kumtafutia Ajira MTU mmoja tuu.acha porojo umetumwa na Makonda ww, au unadhani humu ndani wamejaa watoto?
Mi ni landlord wa Kigamboni na ninakushauri hizo nguvu, akili na resources zako ungezielekeza kwenye Maswala yanayoweza kusaidia jamii kubwa kuliko hii unayojaribu kufanya, Kwanza umechelewa kwani hayo Mambo ilibidi ufanye zamani Sana na uwapatie matokeo yako wajumbe ili yawasaidie kutafuta MTU atakayeweza kuyatatua, SASA hivi ni wastage of time.Mkuu,mtazamo wako ni wa ajabu sana ila umenifurahisha sana.I will smart up.Je wewe ni mkazi wa kigamboni?toa maoni yako tuyafanyie kazi
Mkuu siasa pia ni fursa,na hii pia ni kazi,hata kwenye KILIMO PIA TUPO.Karibu tukuhudumieMimi nimependa enthusiasm yake but nadhani kaipereka sehemu isiyofaa na timing yake ni mbovu..nimemshauri akafanye tafiti ambazo matokeo yake yatatoa Ajira Kwa watu wengi (kama vile kilimo na ufugaji).kuliko kumtafutia Ajira MTU mmoja tuu.
Mkuu,What amounts to wastage of time?Wewe kama ni landlord basi hukupaswa kuwa na fikra zilizofungwa kwa kiwango hicho nilitarajia ungenipa maoni yako na ushuri kisha mengine tunaweza kuyajadili.Ila nimefurahi ushiriki wako katika mjadala kwani pia kuna mambo mengi sana ambayo nimeyaona ambayo nisingeyaona kama sijaweka Bandiko hili.Mi ni landlord wa Kigamboni na ninakushauri hizo nguvu, akili na resources zako ungezielekeza kwenye Maswala yanayoweza kusaidia jamii kubwa kuliko hii unayojaribu kufanya, Kwanza umechelewa kwani hayo Mambo ilibidi ufanye zamani Sana na uwapatie matokeo yako wajumbe ili yawasaidie kutafuta MTU atakayeweza kuyatatua, SASA hivi ni wastage of time.
Walishatoa maoni yao.Wajumbe walifanya nini?
Mimi nimependa enthusiasm yako lakini Kwa hili ... timing yako iko off...but the idea is interesting/amazing/bravo...msimu wa Siasa za Tanzania SASA hivi unakaribia ukingoni..hii ni Sawa na kubakiza mechi mbili na unahitaji pointi 6 na huku ukiombea aliyeko juu yako apoteze mechi zote mbili Kwa kufungwa magoli yasiyopungua 7 ili wewe umpiku..sisemi kwamba haiwezekani, lakini ni mission Ngumu Sana.Mkuu siasa pia ni fursa,na hii pia ni kazi,hata kwenye KILIMO PIA TUPO.Karibu tukuhudumie