Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

Ukuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.
Zama zimebadilika....

Kwa utandawazi huu....kuna ulazima gani wa kutowatumia vijana KULITUMIKIA TAIFA LAO katika nafasi hizo?!!!

Sensa ya 2012 ilionesha wenye umri chini ya miaka 35 ni 60%.....

My take: Kikatiba hakuna kipengele kuwa UDC wateuliwe wazee.

Hata huko zamani mh.SALIM AHMED SALIM akiteuliwa UBALOZI WA NCHI akiwa chini ya miaka 25 nini UDC ?!! Khaa😲🀣

Baba wa Taifa hayati JKN alikuwa WAZIRI MKUU akiwa chini ya miaka 40.....
 
Hamna kitu kama hicho asee, mtaani palivyo tight labda kama mtu kapata offer ya kwenda mamtoni kuishi vizuri
DC wana njaa kali sana labda hawa wa town na wilaya zilizo amka kidogo wanapiga vimi chongo vya hapa na pale.. ila sio kazi ile wamabaki na malaka ya kukuweka tu ndani ndio wanacho jivuniaga ila watu kuliko wewe
 
Tanzania hakuna siasa,ila kipo kifananacho na siasa.
 
Umeumia, ulipenda waje wakuu kukupokea?
 
Ukuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.
Naongeza Msisitizo
 
DC wana njaa kali sana labda hawa wa town na wilaya zilizo amka kidogo wanapiga vimi chongo vya hapa na pale.. ila sio kazi ile wamabaki na malaka ya kukuweka tu ndani ndio wanacho jivuniaga ila watu kuliko wewe
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kazi kweri kwerii
 
Hapo kwenye Mayala, unamuongelea huyuhuyu Pascal Mayalla wetu wa JamiiForums?
 
Ishu kubwa hapo ni maslai vingine ni visingizio tu.
Ukimuona mtu kaacha Kazi ishu huwa ni maslai
 
Ubaya mamlaka zetu hazitakubali umeacha,utasikia katumbuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…