Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

Kwakweli DCs wapya wana changamoto Jana nimemuona mmoja yaani full stress kwanza anakagua miradi lakini kila kitu anachoongea ni zile hadithi za kusikia..... yaani proffessialism inapotezwa nadhani watu wangefanya kazi kulingana na fani zao yaani unamuona mtu anafanya kazi tu bora liende coz ana njaa sasa hapo hata utekelezaji wa majukumu lazima uwe mbovu atakuwa anawaza tarehe za mshahara zifike
 
Nikweli watu wanapiga pesa za ufisadi sana hadi ukuu wa wilaya wameuchoka wanataka kutumbua pesa walizo iba mama yupo bize kutembeza wazungu wakati nchi inatafunwa
 
Enzi za Nyerere mkuu wa wilaya alikuwa tofauti sana na huyu wa kizazi kipya, kwanza walikuwa ni wazee kuanzia 55 yrs. Pia ni watu ambao walikuwa wamejikita kwenye mambo ya itikadi na walijali zaidi morals and standards kuliko mabadiliko yanayoakisi maendeleo chanya kulingana na mazingira ya kizazi kilichopo....sasa mambo kama hayo siyo target ya vijana wengi, labda vijana wangetumika zaidi kwenye nafasi ya DED maana wanakuwa na tools za kutosha kuweza kuingiza some changes......
 
Ukuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.
uDC uliwahusu sana madereva wa TANU/ CCM wakati wa Nyerere!
 
ina maana maDC hao hawana akili....walikuwa hawajui kabla ya kuapa?
 
Hamna kitu kama hicho asee, mtaani palivyo tight labda kama mtu kapata offer ya kwenda mamtoni kuishi vizuri
Sasa hivi wakuu wa Wilaya ni mabillionea toka magu kufa mkuu wa wilaya anakuwa bilionea ndani ya miezi miwili tu ukusikia temeke barabara ya km1 iliyokuwa igharimu milioni1500 imetumia milioni 5800 hapo milioni 4300 wamekula wakuu wa wilaya na mkoa
 
Yani nataka nishangae wakati huu ndio muda wa kupiga hela bila kelele yani mnaunda kamati vizuri tu mzigo ukiingia mnapiga panga lenu chapu DC anapiga 1B yake anawaachia wengine vipengele vilivyobakia.
 
Hamnaga kitu wanabaki kutishia watu nitakuweka ndani mie wengine hadi nilikuwa nawachapa block kabisaa kwenye simu unajiuliza huyu mtu anajua anacho ongea au anabwabwaja tu 😀😀😀
Hahahahah kina Ole Sabaya😅,,, kumbe DC ni kama kiranja wa Kiwango Security tu
 
Uongo wa taarifa unaonekana hapa! Kama ungesema ma-DED angalau inge-make sense kwa sababu kazi zenye changamoto huko mawilayani ni kazi za ma-DED na kundi lake la watalaamu manake hawa ndio wanafanyakazi moja kwa moja na madiwani! Huko mawilayani, hususani wilaya ambazo kata zake ni vijiji unaweza kukuta Diwani wa Form IV ndo diwani msomi; halafu wewe unaenda pale na usomi wako, lazima upate shida! Nilishawahi kuishi wilaya moja, unaambiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ni Standard VII, halafu mzee ni Much Know balaa, huku akiwa amejaaliwa kipaji cha kuongea. Unaambiwa Halmashauri mzima (DED na Watalaamu wake) ilikuwa inamgwaya! Ujinga wa Halmashauri (DED na timu yake) ni kama unavyoona Bungeni Dodoma! Unakuta Waziri una PhD yako, umefanya kazi hadi ma Umoja wa Mataifa huko lakini bado wanatokea akina Msukuma na Lusinde wanakuambia "Uprofesa wako ni bure kabisa"!
 
Sasa hivi wakuu wa Wilaya ni mabillionea toka magu kufa mkuu wa wilaya anakuwa bilionea ndani ya miezi miwili tu ukusikia temeke barabara ya km1 iliyokuwa igharimu milioni1500 imetumia milioni 5800 hapo milioni 4300 wamekula wakuu wa wilaya na mkoa
Hivi kwa akili yako unadhani ile barabara imejengwa wakati wa nani kama sio wa Magu?! Au unaisikia tu Kijichi!! Halafu inaelekea wala hujui utendaji wa serikalini unaendaje!! Ujenzi wa barabara na DC wapi na wapi?! FYI, ma-DC walikuwa wanapiga pesa kipindi cha Magu kwa kuwatisha watu kwa sababu wao kama wao, ofisi yao haina bajeti ya maana! Pesa halmashauri ni "za DED" na sio za DC! Na huyu DC hayupo hata kwenye orodha ya signatories!
 
Yani nataka nishangae wakati huu ndio muda wa kupiga hela bila kelele yani mnaunda kamati vizuri tu mzigo ukiingia mnapiga panga lenu chapu DC anapiga 1B yake anawaachia wengine vipengele vilivyobakia.
Man, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya haina pesa ya kupiga!! DC anaweza kupiga pesa kwa kuwatisha watu kama alivyokuwa anafanya Sabaya na Bashite!! "Mwenye" pesa nchi hii huko wilayani ni DED
 
Man, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya haina pesa ya kupiga!! DC anaweza kupiga pesa kwa kuwatisha watu kama alivyokuwa anafanya Sabaya na Bashite!! "Mwenye" pesa nchi hii huko wilayani ni DED
DED ambaye anakuwa ni mkurugenzi wa wilaya au sio?
 
DED ambaye anakuwa ni mkurugenzi wa wilaya au sio?
Exactly!! Yule mtu ana pesa vibaya mno! Halafu huko mikoani na wilayani wanazitafuna ile mbaya manake watu macho yetu yanakuwa sana wizarani. Miradi mingi kama sio yote unayoiona wilayani, pesa zinaenda kwake, kuanzia kununua chaki hadi kujenga barabara!
 
Huu ni uzushi.
Hata yangetokea wakati wa Magufuli ningekubali kwakuwa kipindi cha Magufuli hapakuwa na kazi zaidi ya kumtukuza Magufuli na kushika bange mashambani
 
Dah kweli bora kulilia ukurugenzi tu aisee, na ule unaupataje sasa? Ni kwa kuteuliwa pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…