Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

Watu wa hivyo bado hawajatokea Tzn hii
 
Unaposhindwa kusikilizana na madiwan au wazee wa chama ukataka kuacha kazi basi umeshindwa kazi sio kutaka by the way madiwan wanaingilianaje kiutendaji na DC kiasi cha kutaka kuacha kazi labda DED ningeelewa
Ni kweli kabisa kwa muundo wa Halmashauri interaction ya DC na Madiwani ni ndogo Sana, DED ndio anashirikiana nao Kwa ukaribu mnoo, hivyo hiyo sababu ya kutoelewana na Madiwani haina mashiko
 
Ukuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.
Wanapewa vijana wenye CV nzuri na uwezo mkubwa ili kwenda kufanya mabadiliko chanya huko wilayani, ni kwa Nia nzuri tuu, kwa ulimwengu huu ambao tecknolojia inakua kwa Kasi tunahitaji vijana walio sharp na wenye maono ya mbali ili kuendana na Kasi ya ukuaji wa tecknolojia na Maendeleo ya kiuchumi
 
Hamna kitu kama hicho asee, mtaani palivyo tight labda kama mtu kapata offer ya kwenda mamtoni kuishi vizuri
😂😂😂 Tanzania hakuna mtu Wa kuacha kazi kwa hiyari yake mwenyewe bhana...

Hadi Sabaya bado analipwa mshahara
 
Ni kweli kabisa muundo wa Halmashauri una changamoto zake, just imagine we ni msomi na una hoja ya msingi, Diwani standard VII anakubishia na hoja yako inatupiliwa mbali, hili inabidi liangaliwe Sana linapelekea kuchelewa kwa Maendeleo Sana huko vijijini
 
Pesa za mashine wangeikabidhi serikali angekuja Rais au makamu wake.
 
Watu wengi hawaelewi tofauti ya kimuundo Kati ya DED na DC, Hierarchy ya DC ipo hivii: Anaanza DC anafuata DAS then Katibu tawala wanaosimamia tarafa. DED:Anaanza DED inafuata CMT( council management team) inayohusisha wakuu wa Idara ambapo kila Idara Ina bajeti yake na zote zinaingia Halmashauri chini ya usimamizi wa DED Kama accounting officer wa Halmashauri therefore Bajeti ya DED ni kubwa kuliko DC kwasababu ya fedha zinazoingia kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za Idara zote anazozisimamia
 
Wapishe haraka Vijana hawana ajira na wanazitamani hizo fursa.
 
Upigaji umefanyika wakati wa mama hiyo road
 
Wewe ni mpumbavu ujui ufisadi unafanjikaje unakumbuka pesa za kwenye rumbesa ? Mafisadi wana akili kukuzidi wewe ndiyo maana ujui haya mambo wewe unafikili wakuu wa wilaya watakubali ujenge barabara kwa gharama za kifisadi bila ya wao kunufaika hadi mapolisi wanapata mgao
 
Mkuu kweli kwa kijana wa 24 to 40 kuwa DC kunaweza kumpotezea fursa nyingi hasa uwajibikaji na kupamua uelewa wake katika elimu. Hii ni kazi ambayo mtumishi anatakiwa awe promoted kutoka ngazi ya chini ambayo imempatia uzoefu mkubwa na hasa hawa Makatibu Tarafa ambao wakati huo wakuwa above 40 years na ndio wanaenda kusitafu, na nadhani ndio wanao kaimu cheo cha UDC wakati hawapo ofisini. Hii ya kumteua mtu tu kushika nafasi ambayo hana ujuzi na uzoefu nayo tukijifariji kuwa atavipata akiwa kazini (on job training) ndio chanzo kingine cha kutosonga mbele katika maendeleo. Ebu tujiulize ni nani atamudu vizuri kazi hii ya UDC kati ya: kuajiri kijina (30yrs <)moja kwa moja kutoka chuo kikuu na MA yake au kijana 40yrs>)na Diploma ama BA kwa kuwa promoted from Katibu Tarafa mabaya ana experience ya zaidi ya miaka 3.
 
Mhhhh labda Msando maana biashara zinalala.
Ila Msando ni very stupid! Alishajenga jina kwenye Uwakili, halafu unakimbilia u-DC! Au anaota siku moja aje kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali! Jinga sana yule jamaa. DC zaidi ya mamlaka na gari ya serikali, hamna kitu kule unless uwe haramia kama akina Sabaya!
 
Hahahahah kina Ole Sabaya😅,,, kumbe DC ni kama kiranja wa Kiwango Security tu
Wanachojivunia ni mamlaka yao ya kuwatia watu ndani tu, zaidi hapo njaa kwenda mbele.. wapiga madili walioopo kwenye wilaya zilizo amka ndio wanakula maisha😀😀
 
Angalia ulivyo mpumbavu! Sasa hizo pesa za lumbesa zilipitia kwa ma-DC? Huyo DC asikubali ujenzi kwani yeye ndo anaidhinisha pesa? wakati pesa za barabara zinakuwa kwenye Road Fund ambayo DC wala sio mmoja wa ma-signatory!! Au umeumia kukuambia hiyo barabara ilijengwa wakati wa Magu unayejidanganya enzi zake watu walikuwa hawapigi! Jinga sana, ndo maana unashindwa hata kujua wapi unatakiwa kuandika "l" na wapi unatakiwa kuandika "r" kwa sababu ni KILAZA, kenge wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…