zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
- Thread starter
-
- #41
Yahaya....
Sitii neno
Anaishi temeke...nyumba namba anavijua Mamndenyi tu.
Hao wengine watapatapa tu,
hahaha me sina wivu nlimmwaga mwenyewe shosti
Jamani,
daaah
lakini mbona tena roho mwalu mwalu shosti;
Nshawapa za usoni huko juu;
saa hii wanafuta futa machozi tu.]
safiiiiiiiiiii........wanakuwa roho roho jujujuuu
loooh...... Mabwaku!!!!!!! Watu kwa kujitoa muhanga hamjambo!!!!! We moyo wako hauta chemshwa wala kukaangwa ila utaLIPULIWA (mmmh nahisi nimejiova saizi,kwa kumsemea Mamndenyi)
loooh...... Mabwaku!!!!!!! Watu kwa kujitoa muhanga hamjambo!!!!! We moyo wako hauta chemshwa wala kukaangwa ila utaLIPULIWA (mmmh nahisi nimejiova saizi,kwa kumsemea Mamndenyi)
Mbona wafatilia nyayo zangu