kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
ze skini iz soo nice...
Hahahahaaa namtania Yahaya aaaaaaa
Bibi kama wewe hujakabidhiwa moyo basi huyo mwandani wako laghai kuna aliyemkabidhi; bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi mwache Mamndenyi ale vyake kwa kituo!
Hahahahahaha...hehehehehehe, nimechekaje mpaka waliopo karibu na mimi wananishangaa
Hahahaaa jamani kwani we bby hupendi kuwa na Arabela ? Nampenda sana coz ni mstaarabu sana na hata ukienda kumalizia masomo yako UK atakusaidia kunitunza na kulinda dhidi ya akina mandenyi na BADILI TABIA na wenzao wenye tabia kama zao!
Taratibu na maneno yako hayo...ohoooHahahaaa jamani kwani we bby hupendi kuwa na Arabela ? Nampenda sana coz ni mstaarabu sana na hata ukienda kumalizia masomo yako UK atakusaidia kunitunza na kulinda dhidi ya akina mandenyi na BADILI TABIA na wenzao wenye tabia kama zao!
Relux eeeh
Mwaaaah
hahahaaa si unajua jogoo hana formula maalum, yeye hata nduguze huwapandia...... Baby wangu hanaga hayo mambo!
hahahaaa!!!!!! Ngoja ninyamaze msijenitia makwenzi bure
wala hatuumizi mikono yetu; cheza na dunia utapigwa na walimwengu
Taratibu na maneno yako hayo...ohooo
Wivu mi sina ila sina imani...Pole mpenzi..ni huyo tu
mtumeee!!!!!! We mbaba una manenoo,,,,,, kaah!!! Nikitoka hapa naomba mtie kufuri mlangoni maana sitarajii kurudi!!!!!
Cc: Mamndenyi