TAARIFA:Mamndenyi aanza kujibu mapigo....angalia mwenyewe

Mmmmh
usimwamini sana huyo Lady doctor
anaushawishi; shauri zako.
Mamndenyi
toa shaka Chama mvuvi mahiri sili dagaa wala pono! nakula samaki mwenye siha na tamu iliyokithiri na samaki huyo nimemtia mkononi ya nini nijipake shombo la vidagaa na pono maji yenyewe Dar mgogoro!
 
Last edited by a moderator:
Una maneno matamu wewe

Umefanya nifurahi kwa lazima,
loooh, hiyo ndo mapenzi gani hayo tena
yaani ni two in one au ni one in two, looooh.

Halafu mwambie Mr Rocky nilikuwa ninamsalimia.

Last edited by a moderator:
..............
...........Haitimae Mamndenyi ajibu mapigo kwa kunitupia kwanza picha yake ili iwe pambo na pale napo mkosa tu iwe kumbu kumbu tosha kwangu.

Angalia mwenyew hapo alikuwa katoka saloon acha weeeeeeeeeeh.....

109147​

Kweli wajinga ndio waliwao, yaani wenzio wanakula tundi wewe unafurahia picha...!??
 
Umefanya nifurahi kwa lazima,
loooh, hiyo ndo mapenzi gani hayo tena
yaani ni two in one au ni one in two, looooh.

Halafu mwambie Mr Rocky nilikuwa ninamsalimia.
Hahahahaaa hujaiona ile ya Kenya?
Yetu si ya kawaida tu Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Oya ushamchukua na Arabela?
Tena usicheze nae kabisa....huyo ni mke wangu HALALI kama alivyo Chocs
Yan nimeamua kuwa na hawa wawili tu watakaojulikana rasmi....!
Heshimu ndoa yangu.
Ukitaka mke nenda kwa kipipi au Remmy au wengineo....namaanisha nenda kwazilipendwa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…