Taarifa njema Mke wa Waziri Mkuu Victoria mteule Uingereza ni myahudi, Mungu ibariki Israel

Mada husika umeielewa kweli?
 
Hata kuna wake wa Mtume Muhammad wawili walikuwa wayahudi ni Rayhana bint Zayd and Safiya bint Huyayy, je kosa liko wapi, anaye endesha nchi ni mke au Mwanaume.

Vipi akili zako lakini
Aliye mywesha sumu na kumuuua wakala wa shatani ni nani kati yahao.
 
Ila magaidi yaliamrishwa yakauwe wayahudi ila octb 7,huku yakisema alakbaru na wewe mmatumbi ukishabikia...pumbafu wa head
 
Malaika mtoa roho anaombaje kibali kutoa roho ya mwanadamu?
 
Malaika mtoa roho anaombaje kibali kutoa roho ya mwanadamu?
Hahaha hivi we Malaika mtoa roho unadhani anakuja puuu kuchukua roho yako, bila kupewa amri na Mungu.

Mtume Muhammad alikuwa kipenzi cha Mwenyezi Mungu, unadhani Malaika mtoa roho atakuja puu mchukua roho yake kama vile mimi na wewe hahaha, yule ni Mtume anaonana na Malaika live kabisa.

Unashangaa Mtume Muhammad kumuona Malaika mtoa roho, usishangae Daudi alikuwa anamfungia mke wake ndani asitoke, Malaika mtoa roho alingia kwake.

Nabii Daudi alipo ingia ndani akamuona Malaika ndani kwake, akamuliza wewe nani, akajibiwa mimi ni yule naingia popote, hakuna wakunizuia, pale pale akamwambie wewe ni Malaika mtoa roho.

Usishangae Nabii Ibrahim kuwaona Malaika wawili wamekuja kwake, akawachinjia ndama akidhani wageni, badaye akawajua kama ni Malaika wamekuja kuteketeza group za kina MK254 na wenzao.

Mitume walikuwa wanawaona Malaika, na huyo Malaika mtoa roho wanamuona kabisa.

Tatizo lenu nyie wafuasi wa Paulo, nyimbo za kanisani zinawavuruga, mnatoka tupu, hamna faida kanisani, labda kama unataka kuopoa demu kama wanavyo sema vijana πŸ˜„
 
Wewe Israel inakusaidia nini?

Waafrika hatujitambui sijui kwa nini?
In real life hakuna kitu kinaitwa taifa teule hizo zote ni siasa za wakati ule..
 
Kwenye maswala ya kidini wakristo na waislam wote hamchekani kwani ukweli uko wazi kwamba ili uwe muumini wa dini lazima ukubali kuwa mjinga.

Yaani mtu unalazimishwa kuuacha kabisa utamaduni wako na kufuata wa yule aliyekuletea hiyo dini eti kwa kufanya hivyo ndio utaingia mbinguni, kweli...!!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› Waafrika IQ RATING ndogo sana.
 
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
β€œTerrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
β€œMake war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
β€œDo not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Hata kuna wake wa Mtume Muhammad wawili walikuwa wayahudi ni Rayhana bint Zayd and Safiya bint Huyayy, je kosa liko wapi, anaye endesha nchi ni mke au Mwanaume.

Vipi akili zako lakini
Jamaa mjanja sana.

Kumbe wakeze walikua wanamsimulia torati.

Yeye anakuja kutuambia kitabu kimeshuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…