Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Kero gani katatua zaidi ya kuziongeza au kule kuwadharirisha wale kina mama pale Dumila kwamba eti waseme vizuri wanataka wapanuliwe wapi,ndio kero unayeizungumzia kuitatua?
Huku anatafuna mhindi alionunua kwa mwananchi mnyonge[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
SASA BARAZA LA MAWAZIRI KWANINI LILIFANYIA KIKAO DODOMA IKIWA LEO RAIS ANAREJEA DODOMA? MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU WOTE WAKO DODOMA SASA KWANINI WALIITWA DAR IKIWA LEO RAIS ANARUDI DODOMA? HIVI KWELI WASHAURI WA RAIS WANAFANYA KAZI VYEMA?
Acha ujinga mawaziri walikuwa dar kumuaga waziri mwenzao
 
Acha ujinga mawaziri walikuwa dar kumuaga waziri mwenzao
... kwanini wasiagie Dodoma makao makuu ya nchi ilipokuwa ofisi rasmi ya marehemu? Waache kujenga mazingira ya kutapanya jasho la wananchi bila sababu za msingi!
 
kuliko mwendazake? kila jioni akalale kwa hawara tena Mke wa mtu, tena ampe na uwaziri, tena na ukuu wa wilaya
Mwacheni Mama anatukonga nyoyo zetu sasa TZ amani shega
tunaweza post chochote
Kabisa!! Na magaidi sasa yanakamatwa
 
Mbona tutakoma hakuna la maana ni tozo tu na vitu kupanda bei na subiri tuje tupandishiwe bei ya nauli ya daladala si mbali ndo tutakoma.
 
mh rais anakuwaga na likizo..amgalia masharti usilaumu
Tokea nchi yetu ipate uhuru hakuna rais aliyewahi kwenda likizo kwao kwa miezi miwili na akaamishia ofisi huko huko.
 
Mkuu mzee wetu wa chato alikua anatumia gari huku akiangalia na kusikiliza kero za wananchi ...Huyu yuko angani hizo kero ambazo tuliona hazitatululiwi na viongozi wa chini tutamwambia nani sasa[emoji24][emoji24].RIP JEMBE LETU TUTAKUKUMBUKA DAIMA HATA KAMA WALITUSEMA SISI SIJUI NI SUKUMA GANG LAKINI KAZI ULIIFANYA.
 
Alipaweza wakati muda mwingi alikuwa akiutumia akiwa Chato! Yule ndio bure kabisa bora hata alivyojiondokea zake.
muulize mwendazake alifia mkoa gani?
 
Hivi Ile ndege ya Rais aliyonunua Mkapa,ama vibua msafara wa mkuu hautoshi naona Mara zote yupo na dege kubwa!?
Poor reasoning juzi mawaziri wamekimbizana to Dar, kikao Jana leo wanarejea Tena!?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma

Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali

View attachment 1885097
Awam hii makao makuu ya Nchi kutengemaa ni shida, haitawezeka kutoka na Rais kukosa UTULIVU wa kukaa Dodoma, haitapita mda utasikia huyo Dar
 
Tangu apitishwe Ina Ile kitu ya mwaka 1977 , safari ni dar,Dodoma na mwanza . Ataweza kufika wilaya ya Serengeti ambako ndege hazitui?
Siku hizi mitandao haina kitu cha maana, imegeuka vitengo vya majungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…