Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Airbus imegeuzwa baiskeli ya bi mkubwa[emoji1][emoji1], ila tunaumia kuona ufujaji wa rasilimali ukifanyika.

SiKuna ndege ya rais ile jet ndogo mbona inamtosha tu?
 
Ama kwa hakika tushapoteana mambo yamebadilika ghafla mno nimeamini kweli uzalendo ni Karama na tofauti ya kiongozi na mtawala
 
Kumbuka Kwandikwa aliagwa jana Karimjee na Serikali yote ilikuwepo so it was ideal kwa Cabinet meeting kufanyikia Dar.
 
Sawa mkuu.
 
Bado mumewe akipiga simu anageuza tena Usiku usiku πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Watanzania tutafika mbinguni tumechoka sana
 
Yawezekana robo tatu walikuwa Dar kabla ya kuitishwa kikao na leo wamerudi Dodoma wote.
 
Kero za wananchi zitatuliwe na Mawaziri, Wakuu wa mikoa, wa wilaya, DED na wabunge. Nchi ya watu milioni 60 haiwezi kumsuburia mtu mmoja atatue matatizo yake.
Magufuli alikua akipiga Dar to Dom anaanza kwa gari. Lengo ni kukutana na wananchi na kutatua kero zao na kuwasikiliza. Huyu ni juu kwa juu. Na nivile tu kuna corona,huyu angepiga misele kuliko JK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka Kwandikwa aliagwa jana Karimjee na Serikali yote ilikuwepo so it was ideal kwa Cabinet meeting kufanyikia Dar.
... makao makuu ya nchi ni mji ambao inategemewa shuguli muhimu za kiserikali zifanyike including kuwaaga viongozi wa kiserikali waliotangulia mbele ya haki. Kama mmeanzisha makao makuu na serikali kuhamia huko lakini bado shughuli muhimu za kiserikali zinafanyika kule kule mlikohama, makao makuu mlikokimbilia yana maana gani?
 
Nikafikiri mwewe aliyewasiri hapa juzi kati ndo anafanyiwa safari za majaribio, si unajua sisi mangosha tukinunua baiskeli mpya....
 
Bado mumewe akipiga simu anageuza tena Usiku usiku πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Watanzania tutafika mbinguni tumechoka sana
πŸ™„πŸ™„πŸ™„,Kidini itampasa iwe ivyo.....sasa kiserikali sijajua maamuzi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…