Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

yaani mmepunguza lkn bado yanga anamzidi kolo ubingwa
 
yaani mmepunguza lkn bado yanga anamzidi kolo ubingwa
Wala hatujakataa. Wanaoogopa ni hao wanaotengeneza maubingwa ya mchongo ili kutengeneza gape kubwa wakiogopa watafikiwa.

Halafu ilichukua miaka 33 Yanga kuchukua ubingwa. Nadhani hii klabu ilianza kama kikundi cha wacheza bao na baadae netball, ndiyo maana mpaka leo kwenye mpira mna makandokando.
 
Usiseme Samia na mpira wapi na wapi. Ile hotuba aliyoitoa si yeye aliyeiandaa bali iliandaliwa na watu wenye akili zao timamu ambao pia walijiridhisha usahihi wa kila fact iliyomo kwenye hotuba ile.

Labda nikuulize wewe, unataka kusema wewe uko informed sana kuliko Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu au Archive iliyopo pale Ikulu?
 
Basi hao ni waandishi feki wasiojua lolote

 
ingawa watani wanauchungulia huu uzi wakiwa mafichoni lakini hata kama hizo takwimu haziko sawa, kuna haja TFF waweke wazi hili suala. Historia sio kitu cha kubezwa, leo hii mashabiki wa ligi ya uingereza hujivunia zile timu waanzilishi wa ligi kama Notts county,Bolton,Aston villa...

Leo kwetu hakuna anayejali historia, nashangaa hapa kumbe Tz ina ligi rasmi tangu 1932 ingawa ya mkoa mmoja, pia nashangazwa na kupotea kwa historia ya timu kama hiyo Arab Sc, Tff ni muda umefika sasa watuwekee wazi hizi taarifa.
 
Wikipedia sio reliable source. Hapo katika mabingwa wote waliorodheshwa huku tunaona Arab sc wakati wikipedia hawajawekwa. Kuna haja TFF waje na majibu kuhusu hili.
Record za michezo yote tangu Ligi ianzishwe zipo Baraza la michezo na Yanga ndiye Bingwa mara 30 inaenda 31
 
Tangu mwaka 1935 unadhani vikombe 30 no vingi mno?
Kuanzishwa mwaka 1935 hakukupi uhalali wa moja kwa moja kuwa bingwa mara 30. Ubingwa unashindaniwa siyo kuamka tu na kusema kwa kuwa nimepigania uhuru na nimeanzishwa mwaka 1935 basi mimi bingwa mara 30.

Al Masry imeanzishwa 1920 ila haijawahi kuchukua ubingwa wa ligi ya Misri.
 
Mamlaka ndizo zinatambua Yanga Bingwa × 30
 
Mlicheza fainali ya kombe ambalo lilianzishwa miaka 11 baadae!?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-31-00-12-33-037.jpg
    264.5 KB · Views: 14
Kweli wewe mbumbumbu jambo la kumuuliza Baba yako historia ya Yanga na Simba unakuja kulishwa matango pori na tahasisi zisizo eleweka!!
 
Mlicheza fainali ya kombe ambalo lilianzishwa miaka 11 baadae!?
Kweli huko wenye akili ni wawili tu 😂 angalau basi ungecrop hiyo pic kufit your narrative kuliko kuonekana zamwamwa. Ni sawa na kusema Uefa cup winner's cup sio Europa league kwasababu Europa imeanza msimu wa 2009-10?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…