Soma hapa halafu niambie hiyo Wikipedia kama ni chanzo cha kuaminika.Aaah kwamba nickname yenu ni "Ndala Fc, wachawi, washenzi wa kariakoo, mashoga wa jangwani?"Imeletwa chanzo cha wikipedia inakataliwa wakati hiki chanzo kiliwekwa kwenye huu uzi una unknown kibao lakini unalazimishwa kuaminika. Hapo ndipo utakapomuona Rage kama mchawi vile
Hawawezi kupinga maana hawana takwimu zozote wanazoweza kupata kupinga hili. Si unaona wanachungulia na kukimbia na wengine wanakiri kabisa kuwa ni kweli walikuwa wanatudanganya.Mpaka sasa hakuna mwanauto alieleta takwimu kutoka chanzo kinachoaminika kuwa wao ni mabingwa mara 30.
Unapingana na vielelezo ulivyopost mwenyewe.Ni yamefutwa siyo kuunganishwa,ukitaka kujua yamefutwa angalia al ahly ana makombe mangapi ya shirikisho?
Hoja yenu ya UEFA mmeikwepa na maswali yangu ya msingi hamjibu
Hayo makombe issa hayatou alikua anakopi UEFA,wakifuta na yeye anafuta
🤣😂🤣😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂Soma hapa halafu niambie hiyo Wikipedia kama ni chanzo cha kuaminika.Aaah kwamba nickname yenu ni "Ndala Fc, wachawi, washenzi wa kariakoo, mashoga wa jangwani?"
Hata hii iliyoletwa hapa haiwezi kuwa chanzo cha uhakika kwavile ina miss taarifa za miaka mingine kwa kuandika unknownSoma hapa halafu niambie hiyo Wikipedia kama ni chanzo cha kuaminika.Aaah kwamba nickname yenu ni "Ndala Fc, wachawi, washenzi wa kariakoo, mashoga wa jangwani?"
Hahahaha unatafuta pa kujificha?..al ahly na stella walishinda makombe gani 1993?
🤣😂🤣😂🤣🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂
Wamejipakulia maunyama wakajipa ubingwa miaka ambayo hawakuwa mabingwa ili kuhalalisha propaganda zao.
Swali ni kwamba mmejitangaza kuwa mabingwa mara 30 kutoka chanzo cha takwimu kipi?Hata hii iliyoletwa hapa haiwezi kuwa chanzo cha uhakika kwavile ina miss taarifa za miaka mingine kwa kuandika unknown
Tukubaliane kwanza, kumerge ni kufuta au kuunganisha?Hahahaha unatafuta pa kujificha?..al ahly na stella walishinda makombe gani 1993?
Ile ni timu ya mpira wala haitaji takwimu kujitangaza bali inahitaji trophies kujitangaza. Wao sio wajinga kutaja kombe ambalo hawakuwahi kubeba kisha wakasema tumelibeba. Mamlaka ya soka si yapo, kama Yanga ingekuwa sio mabingwa mara 30 wa ligi kuu Tanzania bara wangekuwa wa kwanza kuwakatalia kuhusu hiyo idadi.Swali ni kwamba mmejitangaza kuwa mabingwa mara 30 kutoka chanzo cha takwimu kipi?
Niliacha kuwajibu lakini nashukuru hapa ndugu yangu umemthibitishia kwanini wikipedia sio reliable source 😂. Sijapinga Uto kuwa na makombe 30 wala sijampinga SAYVILLE kuhusu source yake, bahati mbaya takwimu za Sayville zinaibuka kidedea kwasababu mpaka sasa hakuna source yakuaminika yenye kuthibitisha bila shaka kwamba Yanga ana mataji 30!Soma hapa halafu niambie hiyo Wikipedia kama ni chanzo cha kuaminika.Aaah kwamba nickname yenu ni "Ndala Fc, wachawi, washenzi wa kariakoo, mashoga wa jangwani?"
Kwa hilo nakubali niliteleza, dhamira yangu ni kusema Uefa cup ambayo huo msimu wa 2009/10 ndio yalibadilishwa jina kuwa Europa sio winners cup ambayo ni discontinuated tangu 1999.Arsenal alishinda uefa cup 1994,nioneshe kwenye kumbukumbu za uefa zinaposema arsenal ana kombe moja la europa
Ndio hilo SAYVILLE na hata mimi nimegusia, kuna haja wakaja front kulizungumzia hili kabla huko mbele watu hawajapaza sauti ikaleta tafrani.Ile ni timu ya mpira wala haitaji takwimu kujitangaza bali inahitaji trophies kujitangaza. Wao sio wajinga kutaja kombe ambalo hawakuwahi kubeba kisha wakasema tumelibeba. Mamlaka ya soka si yapo, kama Yanga ingekuwa sio mabingwa mara 30 wa ligi kuu Tanzania bara wangekuwa wa kwanza kuwakatalia kuhusu hiyo idadi.
Mzungu hamna kitu anathamini kama utafiti na ukusanyaji wa takwimu na data. Maendeleo yao yote yanategemea hilo.Niliacha kuwajibu lakini nashukuru hapa ndugu yangu umemthibitishia kwanini wikipedia sio reliable source 😂. Sijapinga Uto kuwa na makombe 30 wala sijampinga SAYVILLE kuhusu source yake, bahati mbaya takwimu za Sayville zinaibuka kidedea kwasababu mpaka sasa hakuna source yakuaminika yenye kuthibitisha bila shaka kwamba Yanga ana mataji 30!
Mwisho nilitoa rai TFF waje na kauli juu ya hili, maana hakuna kitu cha kujivunia kwenye mpira kuliko historia! Imagine nasearch habari za Arab Sc sijaipata popote kiasi kwamba imebidi niamini hiyo source ya Sayville imefanyiwa utafiti wa kina pasi na mashaka.
Halafu wasichoelewa hawa PingaPinga FC ni kuwa kombe la shirikisho ni kombe la taasisi ya soka. Kwa hiyo kimsingi, unaweza kusema kombe la Washindi ndiyo lilifutwa halafu CAF Cup likawa rebranded kuwa CAFCC ila wahusika wanasema yaliunganishwa kwa hiyo tuishi humo.Kwa hilo nakubali niliteleza, dhamira yangu ni kusema Uefa cup ambayo huo msimu wa 2009/10 ndio yalibadilishwa jina kuwa Europa sio winners cup ambayo ni discontinuated tangu 1999.
Shauri yako.Hivi watakupeleka CAS.🤣🤣🤣Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea".
Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya vichochoroni na ina wawakilishi dunia nzima wanaosaidia kukusanya na kuchakata hizi takwimu.
Katika tovuti ya R.S.S.S.F wameripoti kuwa Yanga imewahi kuchukua ubingwa mara 25 tu. Katika rekodi zao, Simba imechukua ubingwa mara 22.
Katika miaka ya hivi karibuni, Yanga imesambaza propaganda kuwa ni bingwa mara 30 hadi katika vile vitenge vyao wakaweka nyota 3 na wakadanganya wenzao kuwa nyota 3 zinamaananisha ubingwa waliobeba mara 30.
Nadhani kulikalia hili kimya ni moja ya favour aliyowafanyia Rais wa TFF Wallace Karia halafu leo wanamtusi na kumuona hafai.
Nimeambatanisha hapa chini list ya mabingwa kuanzia 1921 hadi 2024 kutoka tovuti ya R.S.S.S.F.
View attachment 3288050
Ukipinga pinga kwa takwimu rasmi kutoka chombo kinachoaminika.
Yaani mnadanganya ubingwa wa 1995 hapo juzi tu. Wachezaji wa 1995 si ndiyo hawa kina Mmachinga, Mwameja, Ken Mkapa, Dua Said ambao wapo hai na wanahojiwa kila siku Azam TV?Katika hali ya kawaida haya makombe namna ya kuhesabiwa hayakuzuka tuu tena hasa kwa upinzani uliopo baina ya yanga na simba, siamin kama historia ilipotea na kwamba ikaibuka ghafla tuu mwaka huu, mimi nakumbuka toka tukiwa wadogo tulikuwa tukisikia waandishi na watangazaji wa habari wakisema huu ni ubingwa wa kadha wa yanga au simba na tumeendelea kuhesabu mpaka kufikia leo kunapoibuka hoja kwamba taarifa hazina ukweli.. binafsi naungana na wanaosema TFF wajitokeze kuliweka sawa hili kulingana na historia
NB: Ndugu zetu wa simba tangu tunaanza tunahesabu pamoja leo kimewasibu nini?
Nadhani kama kungekuwa na uongo katika ili kuna wachezaji waliopo hadi leo wangekuwa mstari wa mbele kukosoa, watu wa pili ni mashabiki wa mpira waliopo hai hadi sasa na wa mwisho ni bodi ya ligi pamoja na TFF wakilimalizia kwa kupinga takwimu za Yanga kama zina uongo.Yaani mnadanganya ubingwa wa 1995 hapo juzi tu. Wachezaji wa 1995 si ndiyo hawa kina Mmachinga, Mwameja, Ken Mkapa, Dua Said ambao wapo hai na wanahojiwa kila siku Azam TV?
Kama mnadiriki kutudanganya ubingwa wa 1995 mtashindwa kutudanganya ubingwa wa 1944?