TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

Jambo jema ingawa uamuzi umekuja kwa kuchelewa. Ningeshauri iitwe Jamii Africa Forums au Jamiiforums Africa. Ingependeza sana.
Habari, Jina la taasisi ndiyo limebadilika lakini Products zetu ikiwemo Jukwaa hili (JamiiForums.com), JamiiCheck, Fichua Uovu na Stories of Change zitaendelea kubaki na majina yaleyale.
 
JF itashindwa kupenya soko kubwa la Africa kwa sababu Watanzania wengi hawajui Kingereza au Kifaransa.
Kiswahili kinakua kwa kiwango kikubwa sana barani na duniani kwa ujumla.

Huu ni wakati wetu..!
 
Soma pia: JamiiForums wabadilisha jina, Sasa kuitwa JamiiAfrica
 
Chonde chonde! Tunaomba baadhi ya watu humu jukwaani muwaondoe kwanza kwenye mfumo kabla ya kuhamia huko Jamii Afrika; ili tu isije iikaonekana Tanzania ni Taifa la vilaza.

Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, na CHAWA wote wa Mama samia.
nikuhakikishie tu ndugu mropokaji lofa kwamba, utaondolewa kwenye platform hii kwa wakati muafaka endapo tu itakapothibitika wazi na pasina shaka kwamba aidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya umekiuka miiko ya ustaarabu, uhuru, haki, sheria na taratibu za platform hii, ndipo sasa rasmi utaondolewa bila mbambamba yoyote,

na kamwe hutaondolewa kwa mihemko, makasiriko au mihemko ya viongozi wasimamizi wa vigezo na mashati ya nyuzi na mijadala humu jukwaani.

kwasasa,
we endelea kumbwelambwela na kuropoka kwa uhuru gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…