TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

Pongezi sana, siku zote mtoto lazima akue, atoke hatua fulani aende hatua nyingine; kwa upande wetu sisi washiriki ni muda muafaka kujinoa kwenye lugha mbali mbali zinazo zungumzwa zaidi barani Afrika.
 
Umemis slogan zenu za uchawi wa kikinga
una maanisha zile lugha za kishirikina,

za bangoyabangoya wale majini weusi ama weupe mchangani, ama ngamia, ama nyumbu ama faru na na wanyama wengine wote,

yeeehyeeeh bhhhuuuubhaaahh, halafu anatingisha kichwa kwa kufoka foka dah,

kunena kwa lugha kichawi na kishirikina ni kazi mbaya sana gentleman πŸ’
 
Why JamiiAfrica na sio JamiiForums kama ilivyozoeleka...

I would prefer lile jina la JF lingebaki, sana labda iwe JamiiForums Africa
Wataalamu wa "branding" wanaelewa umuhimu wa kuwa na jina la biashara la asili, Jamiiforums imejitengenezea brand ya Jamiiforums kwa miaka mingi, imezoeleka hivyo na yenyewe ni bidhaa tosha ya kuweza kujiuza na kupata kipato zaidi kutoka kwa huyo mbia "Africa" ambaye anaingia sokoni kwa mgongo wa Jamiiforums.
 
Kazi mnayo na wa kububujika na machozi!
 
Hakika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…