Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Respectfully;Wataalamu wa "blanding" wanaelewa umuhimu wa kuwa na jina la biashara la asili, Jamiiforums imejitengenezea bland ya Jamiiforums kwa miaka mingi, imezoeleka hivyo na yenyewe ni bidhaa tosha ya kuweza kujiuza na kupata kipato zaidi kutoka kwa huyo mbia "Africa" ambaye anaingia sokoni kwa mgongo wa Jamiiforums.
Ok. Lakini jina la taasisi lingebakia kuwa kama lilivyokuwa. Hiyo Afrika ingeongezewa tu bado radha ingeendelea kutuheshimisha sana. Ni mawazo yangu tu!.Habari, Jina la taasisi ndiyo limebadilika lakini Products zetu ikiwemo Jukwaa hili (JamiiForums.com), JamiiCheck, Fichua Uovu na Stories of Change zitaendelea kubaki na majina yaleyale.
Thanks 👍Respectfully;
Siyo blanding ni "branding"
bland ➡️ brand
DuhHuyu chinembe namtafuta sana. Siku akiingia tu kwenye 18 zangu, nampiga mimba halafu na mtoto atalea mwenyewe.
Gentleman unazingua sanahey,
pwagu na pwaguzi acheni kupotoshana kilofa hivyo tafadlini sana 🐒
Huyo luka nilisha mpiga ban ya maisha , laban ni mnywa gongo mmoja wa yanga tu😁Bila kumsahau Lukasi Na kina Labani 😂😂
Hongereni sisi wadau ndo wanahisa tupewapo kagawio😊
Mello kila siku anazidi kupuyanga, hao team ya JF sijui wanafanya nn huko ofisini. Hakuna la maana, jina jipya limepoa na halina mvuto. LolJamiiforums ilikuwa inatisha,hata mtu akisikia amezungumziwa JF alikuwa anaogopa kwa jinsi ina sound.Sasa sijui hii mpya kama itakuwa kama JF kwakweli. Sidhani
😂😂😂😂 Ras Simba atatia team ku brush ubongo. LolJF itashindwa kupenya soko kubwa la Africa kwa sababu Watanzania wengi hawajui Kingereza au Kifaransa.
Gentleman,Gentleman unazingua sana
Kwetu usukuman ungetandikwa mboko
Ni kweli mkuu,tuko juu kimataifa zaidi!Nimesoma mahali na picha za wafanyakai wa JF , wazungu kwa kichwa kisemacho:
Tanzanias Jamii Forums transforms Into JAMII AFRICA to bridge African voices
Tanzania’s Jamii Forums transforms into Jamii Africa to bridge African voices
Jamii Africa executive director, Mr Maxence Melo, says the change responds to increasing interest from other African countries seeking to collaborate and share stories beyond their borderswww.thecitizen.co.tz