amenitukana kwa vile nimekuwa kinyume na thinking yake. Huyu atakuwa wa dini ile ndio wanamunkari wa kutaka kila mmoja afuate anavyotaka, eti imeamriwa.Mkuu huwezi kuwapangia watu namna ya kujibu hoja yako.
Tulia umeweka hoja yako mezani, vumilia ijadiliwe na kila mtu kwa maoni, uelewa, mtazamo na uzoefu wake.
Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa!!!
Sijataja Serikali nimesema misaada ya Wa-Tanzania mukipenda kupewa na wazungu mwisho wake mutalazimishwa kuwa mashoga. Usilete Mambo ya siasa hapa. Hiyo ni Taasisi ya Watu binafsi ndio inayotoa misaada hiyo kutoka kwa Wazungu. hakuna hapo Serikali haipo. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara amekwenda kujionea yeye mwenyewe Tafadhali usinichonganishe mimi na Serikali yetu tafadhali sanaSerikali inapokea izo hela tangu inapata uhuru had leo!! uwe unapinga au unakubali serikali yako bado ina sain cheki ya mabilion kila siku……
We mkenya mmefikia huku kweli? Mnajiingiza pombe hadi matakoni aiseHivi ushoga uliotamalaki pwani na Pemba umeletwa na misaada?
Hivi ushoga uliotamalaki pwani na Pemba umeletwa na misaada?
👍👌🤝🛡️amenitukana kwa vile nimekuwa kinyume na thinking yake. Huyu atakuwa wa dini ile ndio wanamunkari wa kutaka kila mmoja afuate anavyotaka, eti imeamriwa.
Mimi siungi mkono ushoga, kama nisivyounga mkono ulevi, lakini anayefanya mwache afanye. HIS BODY, HIS RIGHT!
Ata waarabu mi naona mashoga wale pia kule kina sehemu wanakuja wazingu forozan huko ile hali ya ku interact nayo ni chanzo
🤣 🤣 🤣Sijataja Serikali nimesema misaada ya Wa-Tanzania mukipenda kupewa na wazungu mwisho wake mutalazimishwa kuwa mashoga. Usilete Mambo ya siasa hapa. Hiyo ni Taasisi ya Watu binafsi ndio inayotoa misaada hiyo kutoka kwa Wazungu. hakuan Serikali hapo Mkuu waMkoa wa Mtwara amekwenda kujionea yeye mwenyewe Tafadhali usinichonganishe mimi na Serikali yetu tafadhali.
Uko kwenye keyboard kwa discoveries za wazungu usiowapenda! Wewe huwapendi, basi achana na discoveries zao! Discard everything originating from wazungu! Carnot cycle engineWapenda wazungu utawajua tu haya pata ujumbe kutoka kwa mchungaji ado november
Ngozi nyusi si ndio mnaabudu wazungu
Unaipinga dini yako ewe kafiriiii? Maana nyinyi mmeamrishwa kuwa mashoga na maneno yapo kwenye bibiliaAcha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
Umesikia ya Mafia? watoto 15 wamelawitiwa na mambo kama hayo mengi tu!
jitahidi kuelimika duniani tunategemeana mungu kaweka hivyo , wao wanatutegemea sisi kwa mali asili zetu bila ya hizo hata hizo iphone hawataweza kutengeneza,Uko kwenye keyboard kwa discoveries za wazungu usiowapenda! Wewe huwapendi, basi achana na discoveries zao! Discard everything originating from wazungu! Carnot cycle engine
Mnaufanya sana kwa siri! Wanaokuhusu wanaufanya sana, kwa siri. Kuna watu wanakula nyama ya nguruwe kwa siri na kunywa pombe kwa siri, hivyo hivyo kwenye ushoga!Hapana, Kila kitu Kinachonihusu Mimi na wewe hakiruhusu USHOGA. Imekuaje wewe mwenzetu umekengeuka ??
nipe mfano wa hao waichogundua ambacho has a tremendous influence on your daily lifeNa hata hivyo wapo waafrica wengi ,wahindi wachina na kadhalika wote wanavumbua vitu mbalimbali kwa maendeleo ya dunia
it seems umemaliza shule /university za kata, I can see your arguments!Na huko kupenda kwako wazungu kusikufanye ukapoteza hadi utu wako na kupoteza uwezo wako wa kufikiria
Ni kweli kabisa kizazi chetu kitaharibika baada ya miaka 10 ijayo jambo la ushoga litakuw ani kitu chakawaida katika jamii yetu itakuwa kila Wanaume 100 basi wanaume 10 watakuw ani mashoga na kila wanawake 100 wanawake 10ni wasagaji tusipo chukuwa hatua kali kupiga vita ushoga jamii yetu itaharibika kabisa wazungu wanafanaya kila kampeni ili kuharibu kizazi chetu kwa sababu hawataki watu wawe wengi duniani wanatumia misaada yao kutuharibu kizazi chetu tusipokuwa waangalifu tutaharibikiwa sana .Kupenda kupewa vya bure na watu wa njee ni kuonyesha ni umaskini na pia chochote unaweza pewa ili chamsingi ni kupambana na tulichonacho tusaidiane wenyewe misaada ya nje ina conditions nyingi na hao hawawezi toa msaada bila kunufaika au kutaka kitu fulani na hapo ni kutaka kuaribu kizazi chetu cha badae kiwe cha hovyo kabisa.
Tunahitaji watu wenye hekima na hofu ya Mungu kukemea hili swala maana linaonekana kama halipo lakini katika jamii yetu lipo sana.
Huwezi kuafford kusoma shule na chuo nilichosoma ,just stick to the pointit seems umemaliza shule /university za kata, I can see your arguments!
Sasa hapo unafiki wake ni nini au na wewe ni shoga?Acha unafiki, ushoga upo enzi na enzi kwenye jamii zetu hasa za pwani na dini ile, people are doing it secretly. wazungu wamekuwa wakweli/si wanafiki wameweka hadharani, lakini haya mambo yanafanyika hasa kwenye influence ya waarabu.
Umesikia ya Mafia? watoto 15 wamelawitiwa na mambo kama hayo mengi tu!