Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

Umempa ukweli,badala ya kuunga mkono,kukataza ushoga,yeye aleta habari za ushoga uliko na kutaja,wanaopinga ushoga kuwa ni mashoga.Nchi za kiarabu,zisikie hivyo hivyo,ukikamatwa ni shoga,kichwa chake ni halali yao .Huko nchi za kiarabu,kama ni shoga,afanye kwa siri sana,serekali wala dini ya kiislamu haijaruhusu,ndio ukaona huko viongozi wa dini ,wanapiga wazi wazi,kwasababu dini hairuhusu huo ujinga.
Nchi zilixoruhusu ushoga huwezi kupinga waziwazi,kama nchi za magharibi(sio nchi zenye kufuata miongozo ya dini).,,
 
wanafanya kwa usiri, na tabia hii imeletwa na waarabu pwani na kote walikopitia. Popote alipopita mwarabu shoga ni jadi. mafia umeisikia?
 
wanafanya kwa usiri, na tabia hii imeletwa na waarabu pwani na kote walikopitia. Popote alipopita mwarabu shoga ni jadi. mafia umeisikia?
Hao waarabu ndio wanaokutafuna? naona umeamua kuweka ushuhuda wako hapa,
Wakubwa tumeshakuelewa kua wewe ni chakula hata kama unapotezea hapa kwa kurusha ngumi hewani,
Unatumia nguvu kubwa sana kutetea machoko,

Piga kimya ili kuficha upumbavu wako,hapa umeshageuka kua ni kituko ila hujajishtukia tu coz akili yako imeganda.
 
wanafanya kwa usiri, na tabia hii imeletwa na waarabu pwani na kote walikopitia. Popote alipopita mwarabu shoga ni jadi. mafia umeisikia?
tatizo lako ni elimu, mbona muarabu huko kwao mambo haya hakuna tumeona qatar alitoa taarifa mapema kwenye kombe la dunia hadi wazungu wakataka kugomea kombe la dunia ,lakini still qatar alibaki na msimamo wake ushoga marufuku qatar na wazungu wakatii amri sasa hao waarabu gani unaowazungumzia wewe?
haya soma kidogo kuhusu huyu kadinali na yanayoendelea kwa hao wazungu wako
 

Attachments

  • Screenshot_20240609-084835_Chrome.jpg
    439.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240609-084735_Chrome.jpg
    385.9 KB · Views: 2
Tatizo la ushoga si tatizo kubwa kama linavyoongelewa hapa Tanzania.

Halafu hii si juma kapuya foundation? Juma kapuya na Athumani kapuya si ndugu?

Hivi zile shutuma za kubaka binti mdogo ziliishia wapi miaka ya 2013ziliishia wapi?
Acha kusema tatizo la ushoga silo tatizo kubwa Wazungu wajanja sana wanaleta misaada midogo midogo kw awananchi wana lengo lao walilolificha moyoni wewe unafikiri mzungu atakusaidia kitu bure pasipo na kupata faida toka kwako? Wazungu wanachukizwa sana na watu weusi kuzaliana kw awingi dunia sasa imekuwa na zaidi ya Watu Billioni 7 wanachotaka Wazungu ikifika mwaka 2050 watu wapunguwe kuzaliana ndio lengo lao kutuletea ushoga Wazungu walileta Ukimwi ili tupate kupunguwa wamshindwa sasa wazungu wamekuja na njia mpya y akutumaliza kizazi chetu wanaume wawe mashoga na wanawake wawe ni wasagaji ili tusipate kuzaliana sana kama wanyama wanavyozaliana. PINGA NA PIGA VITA USHOGA NA USAGAJI MAHALI POPOTE PALE ULIPO KABLA ADHABU YA MUNGU HAIJATUFIKIA.
 
Kwa Waafrika ushoga ni mambo ya siri ila wenzetu wapo wazi. Utofauti ni huo tu.
 
MTOTO NCHINI UJERUMANI ALIMWAMBIA MWALIMU WAKE WA SHULE KUWA USHOGA NI HARAMU KATIKA DINI YETU YA KIISLAM . MWALIMU AKAWAPIGIA SIMU POLISI WAKAENDA NYUMBANI KWA MTOTO KUMCHUKUWA KWA NGUVU ILI AENDE KUFUNDISHWA USHOGA. HIYO NDIO ULAYA WATOTO WANAFUNDISHWA USHOGA KWA NGUVU

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa jinsi ninavyowafahamu Watu weusi walivyo wanafiki wakubwa, naamini utapopolewa mawe Sana kwa kueleza Ukweli mchungu kama huu.
 
Kwa Waafrika ushoga ni mambo ya siri ila wenzetu wapo wazi. Utofauti ni huo tu.
Hapana kwa waafrika ni kosa la jinai na ni dhambi, kwa wazungu sio tu wameruhusu bali wanachochea ushoga, wanatengeneza hadi vitabu vya watoto kichochea ushoga , cartoons etc
 
Acha kusema tatizo la ushoga silo tatizo kubwa
Mkuu,

Tatizo la ushoga si Tatizo kubwa kama unavyojaribu kulielezea hapa.

Labda kama umeamua kubishana na sipo hapa kubishana, tuna matatizo mengi makubwa yanayosumbua kuliko hili unalolisema.

Kama unazo takwimu ziweke na mimi nitakuwekea takwimu.
Narudia tena tatizo la ushoga si tatizo la kulizungumzia hata kwa ngazi ya wilaya ni tatizo dogo sana.
 
Hivi,hao wazungu wanapoleta misaada,huwa wanawalazimisha kuinama "mpewe" au ni akili za baadhi ya wapokea misaada kupenda kuinama na ni tabia zao tu?Uletewe chandarua cha msaada wewe uanze mambo yako ya kupumuliwa kunahusiana vipi sasa?
Hujui kua misaada huja na masharti? huoni kinachoipata Uganga baada ya Museven kupinga ushoga hadharani?
Hujawahi kusikia mzungu anapiga mikwala nchi zinazopinga ushoga atawakatia misaada?
 
Ni tatizo kubwa sana kwetu Afrika.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…