Preciousvision
JF-Expert Member
- May 14, 2026
- 888
- 1,205
Sasa ulivyo huna haya tuseme ùnajua sheria kuliko wale majaji? We ni zumbukuku tu sema umeumia huyo lofa wenu kuumbuliwa. Kielelezo ambacho hakijafuata taratibu za kisheria isingekubaliwa na kumbuka mshtakiwa ni mwanasheria asingekubali. Acheni ujuaji wa kipuuzi wakati kihalisia hamjui chochoteNa Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Fukara kapuku km wewe huna hela gani ya kuweka benki?Bank zote za Wazungu hakuna huo ujinga. Mimi binasfi siwezi kufungua account kwenye hizi local Banks.
Barking at the wrong tree.Sasa ulivyo huna haya tuseme ùnajua sheria kuliko wale majaji? We ni zumbukuku tu sema umeumia huyo lofa wenu kuumbuliwa. Kielelezo ambacho hakijafuata taratibu za kisheria isingekubaliwa na kumbuka mshtakiwa ni mwanasheria asingekubali. Acheni ujuaji wa kipuuzi wakati kihalisia hamjui chochote
Ingekuwa sehemu ya ushahidi, upande wa defense ungekuwa nayo ahead of time.Kama ilikua Part of Evidence haina shida Mahakamani hakunaga Siri ni sehemu ambayo mambo huelezwa bayana Heche is notorious Criminal anasema 30m kwenye account yake hajui aliyeweka?😁
Ignored.
Ni sawa,katuga katoa wapi nyaraka binafsi za mtu.sheria inasemaje ? USITETEE uharifuAcheni kumtoa shahidi kwenye mstari, kama yeye mwenyewe hajalalamika kwanini nyie mlete taharuki.
Iko hivi kesi ni ushahidi, na shahidi anabidi atoe ushahidi wa utetezi au kushtaki pasina kuacha shaka. Hili hilo litokee lazima shahidi awe muadilifu na atoe taarifa ambazo anaweza kuzithibitisha. Kinachowatesa mashahidi wa mshitakiwa wanatoa taarifa nyingi ambazo hawana uhakika nazo, halafu wanajionesha mbele ya mahakama kwamba wao ni waadilifu na hawana makandokando.
Hali kama hiyo ndo inafanya upande wa mashtaka kutumia nguvu kubwa kujaribu kuonesha mashahidi wa utetezi hawana uadilifu wanaousema na vilevile taarifa zao nyingi hawana uhakika nao. Kwa hiyo tutulie tuendelee kujifunza
Je kutumia taarifa za kibenki ni sahihi kisheria, au serekali inaweza kutumia njia yoyote? Maana iweje muweke mashahidi wa Jamuhuri wa Siri, lakini muweke taarifa za mtu za Siri wazi huko huko mahakamani?! Ama hilo nalo unataka kujifunza?Acheni kumtoa shahidi kwenye mstari, kama yeye mwenyewe hajalalamika kwanini nyie mlete taharuki.
Iko hivi kesi ni ushahidi, na shahidi anabidi atoe ushahidi wa utetezi au kushtaki pasina kuacha shaka. Hili hilo litokee lazima shahidi awe muadilifu na atoe taarifa ambazo anaweza kuzithibitisha. Kinachowatesa mashahidi wa mshitakiwa wanatoa taarifa nyingi ambazo hawana uhakika nazo, halafu wanajionesha mbele ya mahakama kwamba wao ni waadilifu na hawana makandokando.
Hali kama hiyo ndo inafanya upande wa mashtaka kutumia nguvu kubwa kujaribu kuonesha mashahidi wa utetezi hawana uadilifu wanaousema na vilevile taarifa zao nyingi hawana uhakika nao. Kwa hiyo tutulie tuendelee kujifunza
Subir re examination utaelewa wewe.Heche angesema tu ukweli hajui wale mashetani wameshamdukua? Kimsingi alikuwa hataki kutangaza mali zake, jambo ambalo mi namwelewa, wanasiasa hawataki kuonekana na mali nyingi.
Kwani Wakili wa Mshtakiwa aliweka pingamizi? Na unaweza kuta kuna sheria inampa DPP kupata hizo taarifa bila kibali cha mwenye akaunti...Wakili, awe wa serikali, au binafsi, ana kinga ya kuvunja sheria mbele ya Jaji?
..Nilidhani kunatakiwa walau kuwe na karipio, au kupelekwa ktk kamati ya maadili.
Heche kwanza angepaswa kabla ya kukubali kuwa ni Account yake angepaswa kuuliza hizo Risiti zimifikaje mikononi mwa wakili.pia fedha zake Ktk acc yake binafsi zinauhusiano gani na kesi hii.kitendo Cha kukubali kuhojiwa kwa kutumia copy badala ya Document ambazo zimethibitishwa kisheria hiyo inamuweka Ktk Hali ngumu ya kumshtaki muhusika na Bank.Hana ushahidi 😁,bora ungekaa kimya kuliko kuonyesha usivyoelewa sheria
Kwani Wakili wa Mshtakiwa aliweka ping amini? Na unaweza kuta kuna sheria inampa DPP kupata hizo taarifa bila kibali cha mwenye akaunti.
Mambo kama haya ndio yananifanya niamini kuwa Lissu hakupaswa kujitetea mwenyewe. Hiyo kazi angewaachia wakina Kibatala. Wao wangeweza kumtayarisha vizuri shahidi dhidi ya maswali kama haya.
Amandla...
Kabisa. Lakini inawezekana kabisa kuwa sheria za Tanzania zinamruhusu kufanya alivyo fanya. Kama ni hivyo basi hakuvunja sheria...mimi ninavyoelewa muendesha mashtaka hatakiwi kutumia ushahidi uliopatikana bila kufuata sheria.
..kwa hiyo kama Katuga hakufuata sheria ktk huo ushahidi wake basi atakuwa ameikosea mahakama, na ame-impeach credibility yake.
Sheria ipi? Na unajuaje kuwa hakupata kibali cha Mahakama?Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania inakataza kutoa siri za mteja labda tu kwa amri ya mahakama..
Basi kama hivyo na mahakama zetu zinaongozwa na maku na ni za kipumbavuuuu! Kwa nini hawakukataa hapo hapo!Na Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja unaotokana na mkataba kati ya mteja na benki, Sheria ya Taasisi za Benki na Fedha, na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa za Binafsi.
Benki inatakiwa kulinda taarifa za mteja isipokuwa katika mazingira manne pekee: (i) Compulsion of Law), (ii) Duty to the Public, (iii) Interests of the Bank, (iv) Consent of the Customer.
Wakati John Heche anatoa ushahidi wake katika kesi ya uhaini ya Jamhuri Vs. Tundu Lissu, Wakili Mkuu wa Serikali, Katuga ametoa nyaraka zake za ‘photocopy’ kuonyesha akaunti ya benki ya John Heche.
Nyaraka hizo za ‘photocopy’ zimetolewa na Wakili Mkuu wa Serikali ili kuonyesha taarifa za miamala ya John Heche mbele ya Mahakama kutoka katika akaunti yake ya Benki Na. 01522005XXX.
Nyaraka za kibenki kama zikihitajika na Mahakama, zinatakiwa kuwasilishwa Mahakamani zikiwa unauthenticated au uthibitisho wa kisheria (Bankers’ Books Evidence Act/Certified Copies).
Soma Pia: Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani
Anyways, kama kuna kuvunja mkataba wa usiri wa mteja (Breach of Duty of Confidentiality), John Heche akimaliza kutoa ushahidi wake Mahakamani, ataona nini anatakiwa kufanya katika jambo hilo.
Wanapiga hela za ccm bure tuYale ni mambo ya kijinga. Halafu kesi ni ya uhaini, mawakili wanahoji majina ya shahidi, tonetone, akaunti za benki, magari anayomiliki, nk!
Ujinga mtupu.
Kwani fedha chafu haziwezi kutumiwa katika uhaini?Hiyo kesi ni ya uhaini siyo kesi ya matumizi mabaya ya pesa za tone tone.
Kaonyeshe.Kwani fedha chafu haziwezi kutumiwa katika uhaini?