Tetesi: Taarifa za ndani kabisa nilizopenyezewa zinasema huenda Feitoto akacheza Kariakoo isiyo na Mafuriko SC siku si nyingi

Hapo sawa nimeelewa. Nilitaka kushangaa eti hakuna kuuzwa timu fulani.
 
Reactions: Tsh
Hivyo vipengele vina gharama zake vikivunjwa. Watu wakimtaka watakaa chini waangalie namna ya kukikabili hicho kipengele kwa manufaa ya pande zote tatu, atakayeona kaonewa atashtaki kwenye mamlaka rasmi. Mpira si biashara ya utumwa.
Gharama zake unazijua? Kuvunjwa sio hoja, hoja ni gharama kiasi Gani unazotoa kumpata mchezaji Kama Feisal! Je atakulipa kulingana na gharama ulizotoa? Je kiwango chake kinaendana na gharama ulizotoa kumchukua? Je Kuna ulazima kiasi Gani kutumia nguvu kubwa na gharama kubwa kumpata Feisal? Kwa upande wa yanga wao wataitaji fungu lao kwa mujibu wa makubaliano ya kimkataba, kwaiyo Azam wao ndio watajua biashara imewalipa ama aijawalipa, Kama waliambiwa akiuzwa Tanzania watoe 800milioni basi itawabidi wazitoe watake wasitake ivyo suala sio kuuzwa suala ni faida Gani watapata!
 
Timu pia hazitakiwi kuhujumiwa. Kuwekeza kwa mchezaji si jambo jepesi lina gharama. Huwezi ibua kipaji ukakikuza ili umpe mpinzani wako akitumie hicho kipaji kukunyima maslahi. Mpira ni maslahi.
 
Rs Berkane wao hawakuona hilo?
 
Hivi ni kweli humu Bongo huwa kuna timu zinaweka kipengele kwa mchezaji kutokuuzwa katika timu fulani? Kama kipo basi ni ajabu lingine katika soka la Tanzania.

Je, hata hiki kipengele huwa kipo hata nchi zilizoendelea?
Ni wewe tu hauja taka kushirikisha akili yako vipengere vipo sana tu
 
Sasa hili si suala lako boss, ni suala la management ya timu inayotaka kumchukua. Wewe suala lako ni kusubiri atakachokifanya uwanjani ufurahie au ulie.
 
Hivi ni kweli humu Bongo huwa kuna timu zinaweka kipengele kwa mchezaji kutokuuzwa katika timu fulani? Kama kipo basi ni ajabu lingine katika soka la Tanzania.

Je, hata hiki kipengele huwa kipo hata nchi zilizoendelea?
Manchester united hua wanaweka kipengele mchezaji aliye kwako kwa mkopo siku mkikutana kwenye mechi asicheze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…