Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umesema Mo ni tajiri alishindwa kutoa hela kwa Adebayor?Tatizo unadhani ukihitaji mchezaji na yeye anakuhitaji. Aziz Ki na Sopu hawakuwa machaguo, Adebayor waarabu walimpagawisha kwa fedha kama ambavyo walimpagawisha Msuva hapa juzi akaiacha Yanga. Usajili ni mutual agreement, sio hela tu
Sina mda wa kuhangaika na huyo mgonjwa wa akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
cc: ukikaidi utapigwa2
Kama Aliyekuzaa.Sina mda wa kuhangaika na huyo mgonjwa wa akili
Another rubbish postedTimu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.
Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu, Chura na Mafuriko SC kuwa Feitoto auzwe Kote ila siyo kwa Kariakoo isiyo na Mafuriko SC ili baadae asije Kuwaadhibu na Wakajuta.
Yaani GENTAMYCINE nitafurahi mno tu.
Hivi Yikpe akidai hela ya usajili sh. 300M na mshahara wa sh. 30M kwa mwezi, kwa kuwa una hela utampa?Si umesema Mo ni tajiri alishindwa kutoa hela kwa Adebayor?
Umemlipa Shilingi ngapi huyo aliyekuandikia kwa Kiingereza hivi kwani unajulikana kuwa hujui Kiingereza na mfano ni Kile Kiingereza chako Kibovu na Kilichokuaibisha cha Juzi ambacho nakiweka hapa chini tafadhali.......Another rubbish posted
Tunamzunguzia Adebayor au Yikpe? au umbumbumbu usha kua activatedHivi Yikpe akidai hela ya usajili sh. 300M na mshahara wa sh. 30M kwa mwezi, kwa kuwa una hela utampa?
Muuza mihogo alikuharibu kabisaKama Aliyekuzaa.
Ni uelewa tu unakufanya ushindwe kuipata hii. Mchezaji anajipima, na timu inapima kama ana thamani hiyo. Huwezi kutoa hela kiasi chochote kwa yeyote tu, lazima awe na thamani hiyo au zaidi. Mfano umetolewa wa yule Mcameroon. Si kwamba hafai tena kuichezea Yanga, ila dau alilotaja alizidisha chumviTunamzunguzia Adebayor au Yikpe? au umbumbumbu usha kua activated
Kama kipengele kiliizuia Azam kuiuzia Simba tu, basi anaweza akazunguka kidogo akauzwa timu nyingine na nyingine ikamuuza Simba. Kwani mambo ya Wasso kuaga kwenda Ubelgiji yalikuwaje?Simba kumsajiri fei ni baada ya mkataba wake na Azam uishe ili kusiwe na vipengele vya Yanga.
Ni leo?Kama kipengele kiliizuia Azam kuiuzia Simba tu, basi anaweza akazunguka kidogo akauzwa timu nyingine na nyingine ikamuuza Simba. Kwani mambo ya Wasso kuaga kwenda Ubelgiji yalikuwaje?
Kila kitu kinaweza kikafanyika katika dirisha moja tu la January. Mbona wachezaji kibao wanasajiliwa halafu hapo hapo wanatolewa mkopo ndani ya dirisha hilo hilo? Hujui hayo?Ni leo?
Lakini wana kipa wa Bilion 3 usajili wa Mwekezaji.Anae toa hio pesa ni nani kwanza,? 200M kwa Manzoki ilikua mbinde leo aje atoe 600M?
Hivi ni kweli humu Bongo huwa kuna timu zinaweka kipengele kwa mchezaji kutokuuzwa katika timu fulani? Kama kipo basi ni ajabu lingine katika soka la Tanzania.Timu ambayo Feitoto ataichezea kwa sasa inajitafuta ili ijipate kwa Kukamilisha Shilingi Milioni Mia Sita (Tsh 600,000,000/= ) ya Kumlipa na aende Kuongeza Nguvu katika Kikosi chao.
Hata hivyo Kinacholeta Utata na Sintofahamu kwa sasa ni kinachodaiwa Kipengele kilichowekwa na Kariakoo ya Mbu, Chura na Mafuriko SC kuwa Feitoto auzwe Kote ila siyo kwa Kariakoo isiyo na Mafuriko SC ili baadae asije Kuwaadhibu na Wakajuta.
Yaani GENTAMYCINE nitafurahi mno tu.
Hivyo vipengele vina gharama zake vikivunjwa. Watu wakimtaka watakaa chini waangalie namna ya kukikabili hicho kipengele kwa manufaa ya pande zote tatu, atakayeona kaonewa atashtaki kwenye mamlaka rasmi. Mpira si biashara ya utumwa.Ni ngumu kwa Feisal kwenda Simba, vipengele vya kimkataba vinawabana Azam na labda kuendelea tu na porojo za kujifurahisha hapa jf, yanga wao wanajua mkataba wao wa mauziano ya Feisal ulivyo ndio maana wametulia, hizi porojo za jf hapa acha ziendelee kuchangamsha jukwaa
Vipengele vipo ila vinakuwa na gharama zake.Hivi ni kweli humu Bongo huwa kuna timu zinaweka kipengele kwa mchezaji kutokuuzwa katika timu fulani? Kama kipo basi ni ajabu lingine katika soka la Tanzania.
Je, hata hiki kipengele huwa kipo hata nchi zilizoendelea?
Kwa mfano, ikitokea hicho kipengele cha kukataza mchezaji asiuzwe timu fulani kikavunjwa na mchezaji akauzwa, je, timu iliyoweka hicho kipengele ikienda CAS inaweza kushinda kesi?Hivyo vipengele vina gharama zake vikivunjwa. Watu wakimtaka watakaa chini waangalie namna ya kukikabili hicho kipengele kwa manufaa ya pande zote tatu, atakayeona kaonewa atashtaki kwenye mamlaka rasmi. Mpira si biashara ya utumwa.
Kwa mfano, ikitokea hicho kipengele cha kukataza mchezaji asiuzwe timu fulani kikavunjwa na mchezaji akauzwa, je, timu iliyoweka hicho kipengele ikienda CAS inaweza kushinda kesi?Hivyo vipengele vina gharama zake vikivunjwa. Watu wakimtaka watakaa chini waangalie namna ya kukikabili hicho kipengele kwa manufaa ya pande zote tatu, atakayeona kaonewa atashtaki kwenye mamlaka rasmi. Mpira si biashara ya utumwa.