Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Ni aibu kwa BBC. ingekuwa ni Redio ndogo Kama Kwizera FM tungechukulia poaKutakuwepo na mis-information
waandikie emailJioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi matatu ya wakimbizi wakati ni mawili tu.
Wiki iliyopita mtangazaji huyu huyu alisema Kambi la Nyarugusu limepoke wakimbizi zaidi ya 12,000 kutoka DR- Congo! Wakati uhalisia ni kwamba, Hadi Leo tarehe 1, wakimbizi tuliowapokea hawafiki hata 9,000.
Najiuliza tu, Hizi contents za uongo za BBC zinamnufaisha nani?
Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma

Dah! Mzee Upo? It has been a long timewaandikie email
Baadae alimesisitiza kuwa Tanzania Kuna kambi tatu. Kwahiyo Siyo bahati mbayaNi kweli hakuna kambi ya mtendeli. Nadhani atakuwa amekosea au kuchanganya na kambi ya nduta.
Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi matatu ya wakimbizi wakati ni mawili tu.
Wiki iliyopita mtangazaji huyu huyu alisema Kambi la Nyarugusu limepoke wakimbizi zaidi ya 12,000 kutoka DR- Congo! Wakati uhalisia ni kwamba, Hadi Leo tarehe 1, wakimbizi tuliowapokea hawafiki hata 9,000.
Najiuliza tu, Hizi contents za uongo za BBC zinamnufaisha nani?
For sureAshughulikiwe kwa kupotosha
Hatuna uhakika kama ni wewe au David Nkya anasema ukweli.Kwanini unalazimisha tukuamini wewe tuu sio yeye?Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi matatu ya wakimbizi wakati ni mawili tu.
Wiki iliyopita mtangazaji huyu huyu alisema Kambi la Nyarugusu limepoke wakimbizi zaidi ya 12,000 kutoka DR- Congo! Wakati uhalisia ni kwamba, Hadi Leo tarehe 1, wakimbizi tuliowapokea hawafiki hata 9,000.
Najiuliza tu, Hizi contents za uongo za BBC zinamnufaisha nani?
BBC Swahili ni ugoro mtupuJioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi matatu ya wakimbizi wakati ni mawili tu.
Wiki iliyopita mtangazaji huyu huyu alisema Kambi la Nyarugusu limepoke wakimbizi zaidi ya 12,000 kutoka DR- Congo! Wakati uhalisia ni kwamba, Hadi Leo tarehe 1, wakimbizi tuliowapokea hawafiki hata 9,000.
Najiuliza tu, Hizi contents za uongo za BBC zinamnufaisha nani?
Kwa muda Mimi Ni mtumwa wa moja ya mashirika ya kuhidumia wakimbizi. Kwahiyo linapokuja swala la wakimbizi naelewa kila kituHatuna uhakika kama ni wewe au David Nkya anasema ukweli.Kwanini unalazimisha tukuamini wewe tuu sio yeye?
Nakubali 🧢🖖🏾BBC Swahili ni ugoro mtupu
Ndio redio gani hiyo ya kysayngay?Ni aibu kwa BBC. ingekuwa ni Redio ndogo Kama Kwizera FM tungechukulia poa
Hivi hawezi kukamatwa huyu na kufungwa?Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi matatu ya wakimbizi wakati ni mawili tu.
Wiki iliyopita mtangazaji huyu huyu alisema Kambi la Nyarugusu limepoke wakimbizi zaidi ya 12,000 kutoka DR- Congo! Wakati uhalisia ni kwamba, Hadi Leo tarehe 1, wakimbizi tuliowapokea hawafiki hata 9,000.
Najiuliza tu, Hizi contents za uongo za BBC zinamnufaisha nani?
Hivi beata peter kisaka bado yupo radio kwizera?Ni aibu kwa BBC. ingekuwa ni Redio ndogo Kama Kwizera FM tungechukulia poa
Sawa repoter wa kwizera hiyo miaka ni mingi sana kwangu mbona unanizeesha we muha!