Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Mum, mwanaume na kutongoza ni kama uji na mgonjwa..
Na siyo kila anayemtongoza atamla!
Ukiona mazingira yanaruhusu halafu hakutongozi ujue hajakuelewa tu😁

Lakini pia mwanaume hakutongozi bila ushirikiano wako..
Akipiga simu ukaacha kupokea, atume msg hujibu, atakutingoza vipi?

Ukiona mwanamke anatongozwa hadi anaingia kingi, ujue na yeye anataka!
 
Kumbe wewe Ni KE🤔
Yaani ni ajabu sana,unipe namba yako mwanaume afu nikuangalie tu...aisee lazima tupigane miti...na kupigana miti ndo lishe tosha kaz utafanya kiufanisi kabisa ofisini au biasharani
 
Hakuna ushirika kati ya mwanamume na mwanamke, iwe sijui biashara, kazi nk. ni ndoa pekee na udugu wa damu
 
Kaka kama tu Elon Musk alishindwa kwenye suala hilo akapiga mfanyakazi wake na kumzalisha, sisi ni akina nani?
It's like unapigana na nature.
 
Hakuna ushkaji Kwa mwanamke na mwanaume, hilo halipo......
Angalia partnership nyingi za kibiashara duniani, wengi ni wanandoa au wapenzi, hili analotaka kulileta mleta mada haipo.
 
Wanaume wengi huwa wanafeel superior tukipatner na wanaume wenzetu kwenye biashara, ila Kwa upande wa siasa kusaidiana na wanawake halileti shida kwasababu lengo ni kujenga nchi ila kibiashara lengo ni kujenga wealth ambayo itakupa power ya kufanya utakavyo.
Kwasababu hiyo, partnership ya kibiashara Kati ya mwanamke au mwanaume bila kiunganishi Cha ngono haipo na haitowezekana kwasababu hapo unaamua kupingana na uhalisia ambayo itakuumbua mbeleni.
Wanaume wengi hawapendi status ya kuwa the same with women, wanataka power na wasomi wengi wa kike wanawanyima hiyo power so anaona option nzuri ni kumteka kimapenzi.
 
Mmmmmhhhhhhh

Kazi ipo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…