Mmesoma wengi bali hamjaelimika wote, wanawake wanatengeneza pesa zao ila kamwe hawapo tayari kutoa pesa zao kwakusaidiana na hata ukimkopa harudishi, wapo wachache sana. Vyeo ni dhamana tu, hakimdefine mtu, nahapo ndipo mnapojikweza ilihali ukiwa na mwanaume haupo tayari kulea famili hata kwa mwezi 1 kama huyo mwanaume katetereka. Ukiacha wa ofisini, hao wafanyabiashara ni wachache wenye legitimate business, wengi mtaji wa biashara ni mwanaume awe mme au danga lake na huedesha kwa pesa izoizo za hao wanaume ila hayupo kushare faida na mwanaume hata siku 1. Kitu kinachoshangaza dunia mpaka leo, mwanamke huthamini pesa kuliko mwili wake[emoji23][emoji23]. Atafanya ngono ili apunguze kodi na apate pesa nyingi zisizo halali. Wewe waache wanaume wafanyavyo, hamsaidiki wala kufaa kuwa business partners maana ni wabinafsi mno.