Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Tabia hii wanaume mtaiacha lini?

Kwa experience ya maisha niliyonayo mwanamke yeyote asiposhobokewa huwa anajisikia mnyonge saaaana, anateseka saaana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na hii ndio karata ninayoitumia kumuumiza mwanamke mwenye nyodo, anaejiona wa juu sana๐Ÿ˜‚
Sikuzote mbona una tabia mbaya ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kuna mwanaume kakataa hiyo lawama, basi kubaliana na ukweli wenu. Mama kanizaa, lakini kamwe usifumbie macho kitu kisa unatetea jinsia fulani, ukiwacriticized hufi. Mbona wanaume wanatoa mbegu na hawajikwezi na wanakubali cticism kila siku, no gender is special dada yangu.
Ninachomaanisha wakati mwingine baadhi ya wanaume huficha UDHAIFU WAO WA KUENDEKEZA NGONO KIASI KWAMBA KILA MWANAMKE ANAYEMWONA MBELE YAKE ANATAMANI KUMTONGOZA kwenye KIVULI CHA KUWASINGIZIA WANAWAKE NDIYO WENYE CHANGAMOTO!!! KITU HIKI SIYO KWELI
... tuheshimiane na tujenge TAIFA LONALOHESHIMU wanaume na wanawake...
 
Mmesoma wengi bali hamjaelimika wote, wanawake wanatengeneza pesa zao ila kamwe hawapo tayari kutoa pesa zao kwakusaidiana na hata ukimkopa harudishi, wapo wachache sana. Vyeo ni dhamana tu, hakimdefine mtu, nahapo ndipo mnapojikweza ilihali ukiwa na mwanaume haupo tayari kulea famili hata kwa mwezi 1 kama huyo mwanaume katetereka. Ukiacha wa ofisini, hao wafanyabiashara ni wachache wenye legitimate business, wengi mtaji wa biashara ni mwanaume awe mme au danga lake na huedesha kwa pesa izoizo za hao wanaume ila hayupo kushare faida na mwanaume hata siku 1. Kitu kinachoshangaza dunia mpaka leo, mwanamke huthamini pesa kuliko mwili wake[emoji23][emoji23]. Atafanya ngono ili apunguze kodi na apate pesa nyingi zisizo halali. Wewe waache wanaume wafanyavyo, hamsaidiki wala kufaa kuwa business partners maana ni wabinafsi mno.
Namshukuru Muumba nimeshirikia TAFITI NYINGI katika maeneo ya RURAL SETTING na URBAN SETTING; Kwa uhalisia FAMILIA NYINGI ZIMESIMAMA KWA SABABU YA USHUPAVU WA WANAWAKE...

Kuna maeneo wanaume wanatelekeza familia na akina mama wanalea familia kwa hivyo vikazi, vibarua, au vibishara vya kuungaunga na wakati mwingine mpaka wanafanya zilizo haramu kama kupika gongo mpaka wanakuza watoto wao....

Na moja ya MIFANO HAI ni MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI [TASAF] umebadili wawakilishi wa KAYA kutoka wanaume na kuweka wanawake KWA SABABU WANAUME WENGI WAKIPOKEA HIZO RUZUKU NI ANASA na hapeleki chochote nyumbani hata zile za kuwasaidia wanafunzi kupata mahitaji yao!!!

Ukianza kutuhumu wanawake kuwa wabinafsi kwenye vipato vyao unakosea maana ni sehemu ndogo sana ya unaowazungumzia na huenda wanaume wamewasababisha kuwa hivyo.

LEO HATA TUKIFANYA SURVEY HAPA UTAKUTA KUNA WATU WAMESOMA AU KUFIKIA HAPO KWA JITIHADA ZA MAMA ZAO KUTOKANA NA KULEGA KWA WAZAZI WAO WA KIUME!!!!

All in All Baba ndiyo Mlinzi na Msimamizi Mkuu wa Familia hivyo anapaswa kulisimia jukumu LAKE bila kukandamiza upande mwingine na mama NAYE atafanya kwa nafasi yake.
 
Aliupata uongozi kwa bahati
Mbona usiupate wewe basi kwa hiyo hiyo bahati...

Siyo bahati... Kwani mpaka anachaguliwa VP maana yake TAIFA LILIMWAMINI FROM THE BEGINNING kuwa anauwezo wa kuundedha NCHI incase of the head of state atashindwa kutekeleza majukumu yake katika namna yoyote ile as stipulated in our CONSTITUTION
 
Ubovu wa katiba tu ila nchi ilipaswa iendeshwe na mwanaume, mambo mengi yameyumba. Nisiseme sana mwanasheria wangu anaumwa
 
Salam Wanajamvi, natumai wote mko poa kabisa!

Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Mungu wetu Bwana wa Viumbe vyote ametuumba Jinsi mbili za ME na KE. Kuwa Me au Ke haina maana kuwa uko superior au less superior to the opposite sex, bali sote tunategemeana katika kuyaishi maisha haya mafupi katika Ulimwengu huu.

BINAFSI kuna TABIA moja inanikwaza sana kutoka kwa ndugu zetu hawa wa jinsi ya Me; ukikutana na mwanaume mathalan safari, kwenye majukumu ya kikazi au hafla za kijamii wengi watakuomba namba WHICH OFCOURSE IS NOT BAD lakini changamoto inakuja kwenye matumizi ya hiyo namba!!!

Asilimia kubwa ni kutongoza!!!! Jamani Kama ilivyo kwa wanaume wenzio mwanamke anaweza akawa mshirika katika biashara, kazi au madili mengine, sasa ukitanguliza NGONO utafunga MILANGO MINGINE ya kushirikiana kama wanajamii katika kuyaendesha maisha haya.

Baadhi ya wanaume huwa nashindwa kabisa kuwaelewa vichwa vyao vinawaza nini!!!!

Unakutana na mtu ana mahusiano au familia yake PLEASE HESHIMU PERSONAL LIFE YAKE NA KAMA HUNA CHOCHOTE UNAWEZA KUSHARE NAYE POSITIVE LET HER MOVE ON WITH HER STRUGGLE...

Usimrubuni mwanadada au binti wa watu ili ULETE UZI HAPA JF huku ukimwachia majonzi katika maisha yake!!!! Huna future na mtu au ana mahusiano yake msaidie kuyalinda na usiwe sababu ya kuvurugikiwa!!!!

Kuna wanaume wa kweli WACHACHE ambao anaweza kumsaidia MWANAMKE NA WALA ASIHITAJI NAMBA YA SIMU WALA SHUKRAN!!! Siyo wengine akipata nafasi ya kutoa huduma au msaada kwa mwanamke basi tayari ametengeneza NDOANA...

Wengi wa WANAUME HAPA WANALIA MAISHA MAGUMU HAYAELEWEKI, HONESTLY NADHANI PARTLY NI KWA SABABU YA MACHOZI MNAYOYASABABISHA KWA MABINTI ZA WATU!!!!

Jamani hii TABIA IMEKUWA SHIDA SANA KWENYE JAMII ZETU....
Tatizo linakuja hapo... Kwamba unajua ukitoa namba utatongozwa, sasa kwanini unaitoa?
 
Yaani ni ajabu sana,unipe namba yako mwanaume afu nikuangalie tu...aisee lazima tupigane miti...na kupigana miti ndo lishe tosha kaz utafanya kiufanisi kabisa ofisini au biasharani
Haya sasa ndio maneno. Mwanaume na mwanamke ufurahia maisha pale wanapo gegedana.
 
Namshukuru Muumba nimeshirikia TAFITI NYINGI katika maeneo ya RURAL SETTING na URBAN SETTING; Kwa uhalisia FAMILIA NYINGI ZIMESIMAMA KWA SABABU YA USHUPAVU WA WANAWAKE...

Kuna maeneo wanaume wanatelekeza familia na akina mama wanalea familia kwa hivyo vikazi, vibarua, au vibishara vya kuungaunga na wakati mwingine mpaka wanafanya zilizo haramu kama kupika gongo mpaka wanakuza watoto wao....

Na moja ya MIFANO HAI ni MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI [TASAF] umebadili wawakilishi wa KAYA kutoka wanaume na kuweka wanawake KWA SABABU WANAUME WENGI WAKIPOKEA HIZO RUZUKU NI ANASA na hapeleki chochote nyumbani hata zile za kuwasaidia wanafunzi kupata mahitaji yao!!!

Ukianza kutuhumu wanawake kuwa wabinafsi kwenye vipato vyao unakosea maana ni sehemu ndogo sana ya unaowazungumzia na huenda wanaume wamewasababisha kuwa hivyo.

LEO HATA TUKIFANYA SURVEY HAPA UTAKUTA KUNA WATU WAMESOMA AU KUFIKIA HAPO KWA JITIHADA ZA MAMA ZAO KUTOKANA NA KULEGA KWA WAZAZI WAO WA KIUME!!!!

All in All Baba ndiyo Mlinzi na Msimamizi Mkuu wa Familia hivyo anapaswa kulisimia jukumu LAKE bila kukandamiza upande mwingine na mama NAYE atafanya kwa nafasi yake.
Kaya maskini, wewe unazaa na mtu hana akili wala ukomavu wa akili, hana nyuma wala mbele nabado alikuambia sitaki watoto ila wewe hukusikiliza na still bado unataka uonewe huruma. Huo si ujinga. Wewe unaongelea upendo wa mama kwa mtoto, that is purely plutonic na mama hataacha kumlea mwanae maana ni jukumu sio fadhila. Fadhila ni kumtendea wema mtu usiyemjua wala kuwa nauhusiano naye, hapo ni mtu mme na mke ambao wamekutana ukubwani hawajuani hata nukta. Nahapo ndipo mnapoonyesha ubinafsi wa hali ya juu. Wewe umesema mwanaume afanye majukumu yake, ila ni mme afanye majukumu yake ila si mwanaume kwa mwanamke. Pia jua maisha si mstari mnyoofu, kuna siku utapungukiwa tu, akajiue ili mwanamke aishi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, wakati wewe kusaidia kwamuda mfupi haikuuwi. Pia wanawake jua hawafanyi hayo majukumu uyasemayo maana wote twaenda kazini, anachofanya zaidi kwakizazi hiki ni kuzaa ambao ni mara 2 au 3 ndani ya maisha ila mwanaume akulipie maisha yako yote ilihali kulea mtoto wako umemwachia dada wa kazi. Niwabinafsi mno tena mno, nakulea familia yako ni jukumu sio fadhila. Zimetoka articles za study zilizokuwa biased kwa mwanamke mpaka committee zimeanza kushtuka, na single moms wengi sana hudanga wala haendeshi familia directly kwakipato halali. Huwezi amini idadi ya walio na nguvu za kutongoza bila aibu, ila lengo sio mahusiano bali uvunguni anataka hifadhi na udhamini.
 
Tatizo linakuja hapo... Kwamba unajua ukitoa namba utatongozwa, sasa kwanini unaitoa?
Nimezungumzia mazingiza ya kikazi, biashara au social events!!!

Sizungumzii mpita njia tu!!! Ninachomaanisha tunapaswa kuwaheshimu wanawake kama tunavyowaheshimu wanaume..
 
Back
Top Bottom