Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

Aisee mimi, hiyo namba mbili naendelea kuikataa hiyo roho chafu iniache kabisa , maana kwa sasa nina demu na mwingine napanga kumuoa
 
Kumbuka binadamu tunatofautiana sana mkuu. Mimi nilikuwa napiga tano mpaka sita, jana tu ndo nimeacha nyeto rasmi.
Kama ni jana ndiyo umeacha basi wewe mkuu hujaacha bali umepumzika tu kidogo.

Kama unaona kutania utakuja kunambia, labda uwe ulioa jana pia ndio utaacha.

Niliwahi kuacha punyeto kwa siku 23 lakini bado nilirudi mzigoni na nilirudi kwa gia kwamba ngoja nipige moja tu kupunguza uzito kidogo lakini ndiyo ikawa moja kwa moja tu.
 
Aisee mimi, hiyo namba mbili naendelea kuikataa hiyo roho chafu iniache kabisa , maana kwa sasa nina demu na mwingine napanga kumuoa
kama hujaingia shukuru MUNGU na usiingie kabisa na pia oa mapema kama unataka kuoa kweli maana ukichelewa tu kidogo utajikuta uko chamani
 
Pole sana mkuu
 
Hizo ni changamoto nzito nicheki WhatsApp tunaweza fanya kitu na ukaumba uhai ndani yako 0673607107
 
Wakati mwengine hapo kwenye draft ndo anakuja bwege anatoa stori jinsi alivompiga muhindi jana
 
Lutiwa madole, umeacha?
 
Ni kweli lakini anza
Na nia halaf omba msaada wa Mungu mpendwa utoke kwenye vifungo hvyo. Hakuna mkamilifu wengi tu tunastruggle kuacha dhambi na uovu kweli ni kipengele, lakini tujitahidi kujisogeza kwake Mungu tukimwambia peke yetu hatuwezi
 
Ni kweli lakini anza

na nia halaf omba msaada wa Mungu mpendwa utoke kwenye vifungo hvyo. Hakuna mkamilifu wengi tu tunastruggle kuacha dhambi na uovu kweli ni kipengele, lakini tujitahidi kujisogeza kwake Mungu tukimwambia peke yetu hatuwezi

Siku nikitoka kwenye hivi vifungo nitaenda kumtolea Mungu shukrani ya pekee
 
Habari zenu wakuu,

Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi ?
Uzuri umepata neema ya kuona na kutambua madhaifu yako. Kwa hiyo uko katika nafasi nzuri sana kujinasua kutoka katika maasi hayo. Haitakuwa kazi rahisi lakini kwa jitihada binafsi, maombi pamoja na ushauri utafanikiwa. Ingawa kuna kuteleza mara kwa mara ila isikukatishe tamaa utavuka.
 
Daaah! Pole Sana bro!

Kama Ni muumini katika dini , jitahidi kujihusisha nayo katikati ya hayo unayoyafanya wakati fulani utajikuta moja kwa moja utakua umeyaacha hayo yote.
 
Ila uache kubeti unatakiwa uache kuangalia mpira. Sasa kuacha kuangalia mpira ndiyo pagumu. Yaani ishu za mpura uachane nazo kabisa

Brother mimi hata siyo mtu wa kuangalia mpira live kwenye tv ama simu ila huwa nafatilia matokeo live tu kwenye livescore ama sofascore na nafatilia kwa sababu nakuwa nimebet, any kwenye suala la kuacha kabisa kufatilia mambo ya mpira naweza kukubaliana na wewe japo siwezi acha ghafla ila pole pole nitaanza kujaribu kuacha.
 
Inashtua kukojoa mara 8 kwa punyeto siyo hali ya kawaida unahitaji uchunguzi wa kina.

Itakuwa hujanielewa upigaji punyeto wangu, nipo na porno movies ndani nimejifungia ndani kwam masaa 10 hadi 14 nisikojoe goli 8, huwa nakojoa hadi 12 sa kama sijapiga mda mrefu
 
Daaah! Pole Sana bro!

Kama Ni muumini katika dini , jitahidi kujihusisha nayo katikati ya hayo unayoyafanya wakati fulani utajikuta moja kwa moja utakua umeyaacha hayo yote.

Kwa kifupi kumkimbia shetani anapokuwa amekukamata ni kipengele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…