Tabia hizi za Wachagga za kujenga nyumbani zinapaswa kuigwa na Makabila yote

Siyo kweli wazee wachagga wako wengi tu huku mjini na hawataki kurudi huko kwenye umande kwenda kuishi na manyani
 
Siyo kweli wazee wachagga wako wengi tu huku mjini na hawataki kurudi huko kwenye umande kwenda kuishi na manyani

Mimi nimesema WENGI sijasema WOTE wanarudi vijijini, we ulitaka usiwaone kabisa mjini?
Usikurupuke mkuu.

Wahaya mna shida sana.
 
Acha porojo. Hakuna popote kwenye biblia imeandikwa asiyefanya kazi na asile.
 
Mimi nimesema WENGI sijasema WOTE wanarudi vijijini, we ulitaka usiwaone kabisa mjini?
Usikurupuke mkuu.

Wahaya mna shida sana.
Nani kakudanganya kwamba mimi ni mhaya ?
 
Hivi wachaga mbona mna kaushamba flani hivi!..mnaabudu mali as if ukifa unaondoka navyo?

Utu kwanza bana
Nimekuja huku Kilimanjaro, kitu nilichogundua hawa vijana wa huku wakitoka Moshi wanapanda magari kuelekea Dar basi wanahisi wamemaliza.

Huuu mkoa hauna maajabu, umepooza ndio maana hata wao wenyewe wamebaki kukimbia kimbia mikoa mingine kama digi digi.

Ukiitoa Moshi mjini, hakuna wilaya ya Kilimanjaro iliyopiga hatua kuizidi hata Manyoni, Singida.

Suala la kujenga kwenye mashamba ya migomba ni kwasababu hata ardhi yenyewe hakuna, ukitaka kujenga inabidi ufyeke migomba.

Huku kesi na kuuana kwasababu ya ardhi kutokana na uhaba wake ni nje nje.
 
Sioni kitu hapa mbona, nyumba iko wapi?
 
Bila Shaka hamjawahi fika bukoba vijijini huko Cha mtoto
 
Duh Kirua Kwetu ndugu
 
Hata kama ni chuki binafsi hii imezidi
Yani ufanishe Machame au Marangu na Manyoni?

Lakini sishangai kwasababu nimeona ni "Mkaruka", huo mkoa wivu umewajaa sana.
 
Magu alijenga chato mka muua
 
Eeeh mbona kama kwetu kwenye ilo eneo??kirua
 
Nisipjue kwa nini ? Pa kawaida tu sasa hivi kila sehemu vijijini wanajenga.
Kilimanjaro vijiji vyake makazi Bora ni 90% Hakuna mkoa wowote tz unaoufikia labda wadogo zetu kagera tena wilaya ya bukoba,muleba kidogo na misenyi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…