nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Siyo kweli wazee wachagga wako wengi tu huku mjini na hawataki kurudi huko kwenye umande kwenda kuishi na manyaniMbona na mijini wamewekeza sana
Kwani unaishi wapi mkuu?
Wachagga wengi wakistaafu / wakizeeka wanapenda kurudi vijijini hawataki tena kurupushani na kelele za mjini.
Wanawekeza mjini, wanakula taratibu kijijini wakiwa na company zao za utotoni.
Hata wazee wengi walioko uchagani hawapendi kuishi mjini
Hii ni kwasababu vijiji vya huko vina mahitaji yote muhimu kuanzia Hospitali, makazi bora, miundombinu safi, hali ya hewa nk