Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Nipo nyuma yako mpaka tufanikiwe. elewa hio kauli, mbona baada ya kufanikiwa hazungumzii anajua huko yupo peke yake,😆😆
I wonder. Mie sio mchagga lakini nakerwa na tabia za kuwasimanga wadada wa kichagga, ilhali tabia za namna hio zipo kila kabila. Hio ni character ya mtu mmoja mmoja, hasa kwente tamaa za mali.Since 2012 humu mpo obsessed na wachaga Yani wachaga wachaga kaskazini kaskazini unfortunately wenyewe they don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala Yani hawajali chochote
Ukichek statistics idadi ya wachaga hata 2m haifiki fighting spirit ya hawa watu inawanyima usingizi.
Nenda kaoe unapotaka then live your life stop wachaga wachaga
Pesa anazo ila ni blaa , kuna pesa kila december lazima ampe mke apeleke migombani.huyo jamaa yako ni bwege au , anakipato kikubwa cha kusomesha?, si awatimue, kwani na yeye hana ndugu ktk ukoo wake wakusomesha, wanawake wabinafsi sana.
Haizewekani kwenu wamekomaa mpka na wewe ukawa bonge la mtu na hapo wewe unaanza kuwa mbinafsi hutaki na wewe wengine wakulie kwako,mwanamke anahakikisha unakata mzizi na ndugu zako,hata mama yako ataitwa mchawi, yaani hapo anataka ale asali mwenyewe. Uelewe wanaume zile tamaa za ngono zinatutawala kiasi kwamba unafanya maamuzi kwa kuzingatia mb0l0 yako Mana unataka it00mbe huwazi Maisha mengine like mama yako na wewe anahitajika apumzike na maumivu aliyoyapata akiwabeba tumboni apumzike na afarijike yaani ni sawa umehaso inatakiwa ukae ule matunda ya jashi lako.Yaani unavurugwa hadi unafkuza ndugu zako we mwenyewe. Ukianza kugundua akili zinakurudi unakuta Kwenu walishakutenga zamani kisa tabia za mke unakosa hata ndugu wa kukupiga kampani uzeeni
Punguza spidi Mkubwa.Kesi za mirathi mkoa unaoongoza ni Dar es Salaam, ikifuatiwa na Tanga. Kila mahali utakuwa pameandikwa nyumba haiuzwi. Watu wa pwani ni tatizo. Sijui nani anawadanganyaga mnajazana upupu.
Unachukuaje sasa tahadhari na haujui lolote, wewe umeshawahi ingia kwenye mtego wewe au haujui maana ya mtego? [emoji848]Upuuzi upuuzi! Kama unayajua hayo kwann usichukue tahadhari
Me nilichomoka katika huu mtego nikiwa nimekaa na mtu tena tunadate tunamiezi kadhaa hata mwaka bado. Akawa anajileta sana kutaka kujua nafanya nini na anadadisi ile utadhani katumwa hadi nikaona sio kawaida maana kama mahitaji nampatia, kama ni swala la kujua nafanya nini ni mimi nitamshirikisha nitakapokuwa tayari.Upuuzi upuuzi! Kama unayajua hayo kwann usichukue tahadhari
Royal = Ufalme/hadhi ya heshima ya kifalme/thamani ya kifalme/inayohusiana na familia ya kifalme au hadhi ya kifalme.Badili hapo ni Loyal sio Royal.
Umefanya vema sana. Huu ndio uanaume. Wanaume huwa hatuzingumzii yanayotusibu tunakufa na tai shingoni.Pia nimetoa hii thread kuwapa tahadhari wanaume wenzangu waishi nao kwa akili . Hasa kuzisoma hizo alama za nyakati nlizoorothesha hapo juu, inaumiza wanaume kutawaliwa kwa mali ulizotafta mwenyewe.🥲
Wamamama wa kinyakyusa dah hawa nao ni hatari nyingine kwakweli.Una chuki za kindezi sana jomba
Hayo mauaji yanayotokea Geita huko kila siku ni wachaga wale pia?
Unajua tabia za wamama wa kinyakyusa kwenye ndoa?
Unajua tabia za wahangaza wakiolewa?
Acheni kuwasakama wachaga.
Loyal ones wapo ila ndio wachache sana na uwe makini sana kwenye kuchagua mtu wa kuishi nae. Kuna mademu wa kichagga wakishua na wanahuruma kama nini na wanajitoa hadi unajiuliza huyu ni mchagga au mtu wa wapi.Kwa hiyo warembo wa Kichaga ni wa kuogopwa kama mnyama mkali ?!!
Wale pia hawapo loyal kwenye mahusiano bwana.Sio Royal ni Loyal. Kaoe mzaramo. Hawanaga mambo mengi. Wao hutaka tu ruhusa ya kwenda ngomani na sherehe zingine. Hawana shida kabisa na mali zako.
Mmmmmmhmn hamna si kweli, wanaume wa kichagga wenyewe wanakimbia kuoa wanawake wa kichagga siku hizi wanaoa kabila zingine na wanakiri kuwa mapenzi wanayaona.Waacheni waone wenyewe kwa wenyewe!
Mambo hayo wanawafanyia makabila yasiyokuwa ya Kichagga!
Miaka ya zamani ukipata mwanamke ambaye hayupo loyal unastop mahusiano ghafla maana ni wazi hakupendi.Nilifika hiyo stage ya Kwanza, alikuwa loyal sana kwangu hadi nikashangaa
Mshafika wapalestina. [emoji19][emoji19][emoji19] Vita na vianze.Mshazoea kutuchezea vyasaka, tunatafuta wote mkizipata mnaanza kuhonga na kutapanya Mali za familia.....wanawake wakichaga hawataki ujinga, wanalinda utajiri wa watoto.....Bora utangulie Kwa Mungu ili watoto waishi vizuri, kuliko kuhangaika huko urogwe watoto wageuke machokoraa...
Wamama wa kichaga mitano tena
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka Loyal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote
2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia upendo wake fake.
3. Anakuzalia watoto na kukupiga kampani sana katika shughuli zako kiasi kwamba unaweza usitokee kazini na mambo ya kaenda kumbe lengo lake ajimilikishe biashara yako akutawale.
4. Anatengeneza mazingira ujione unauhitaji wa kutanua biashara au ufungue nyingine sababu ya vijikero unavoviona pale kazin kwa kuwepo yeye kwa mitego alosuka ye mwenyewe
5. Anakushawishi ufungue biashara na ukifungua tu anakushawishi hadi anamleta mdogo wake toka moshi asimamie kisa hana kazi kumbe ndio unazidi jiuza utumwani we mwenyewe
6. Ukifika hii stage hapo ndio unakuwa umejikaanga😆 kila ukitaka kufanya kitu mpaka uwape taarifa hata ukitaka hela kwa matumizi binafsi lazima uwaombe wao maana we ushatawaliwa kisaikolojia ukikosea tu home kote wana kununia na kila ofisi wanalipoti tukio lolote kwa mke hadi ukikohoa kazini chini chini wanapeleka taarifa kwa mkeo. Hapa wanaanza kukuwinda nyezo zako unaanza jiua mwenyewe kisaikolojia mawazo hapa ndio dalili mbaya. Ukifika hii stage unawindwa ukosee uonekane we ndio chanzo. Jirinde sana kwenye hii stage usichepuke ukijichanganya umekwisha
7. Ukifika hii stage sasa ndio huna umuhimu waweza fanyiwa chochote ndio . Wanaanza rasmi anzisha migogoro ili wakupoteze wabaki na mali.
8. Utastuka hii stage hakuna ndugu wako anaweza kuja kwako, mali zako wameshika wakwe, mke mbishi, jeuri wakati alikua mwema hapa ndio dalili ya kifo jua ushatawaliwa kilichobaki ni rehema za mwenyezi Mungu
NB ukitaka jua uko stage gani angalia ndugu zako wanaokuja kwako kama wapo wengi jua upo stage 1 kama wanaongezeka upo stage 2 wakianza pungua upo stage 3 na kuendelea.
Naomba thread hii isindikizwe na wimbo wa Chike ft Mohbad- Egwu
Aiyeeee Aiyeeee Aiyeee Aiyeeee Uuuuuu Uuuu Uuuuu Aiyooo Iyoooo Uuuuu🎶🎶