Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

Una chuki za kindezi sana jomba

Hayo mauaji yanayotokea Geita huko kila siku ni wachaga wale pia?

Unajua tabia za wamama wa kinyakyusa kwenye ndoa?

Unajua tabia za wahangaza wakiolewa?

Acheni kuwasakama wachaga.
Hiki kikao ni cha kuwasema wanawake wa kichagga hao wengine tutawajadili kikao kijacho sawa ndugu.
 
mwanaume ukiwa chokochoko pole kama zezeta lazima upandwe kichwani na kuswaga kama kondoo.
nina dada yangu mdogo wangu kiumri namtafutia mchumba kabila mmeru umri miaka 28 ni mpole mstaarabu hana mtoto
Mmmmmmhmn miaka 28 halafu mpole na hana mtoto? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Huu mtego atakaeuingia hebu kila wiki awe anatupa ripoti ya mahusiano yake na bi dada huyu.
 
Mnaambiwa msioe machame, nyie wabishi ona sasa 🤣
 
Hata WAROMBO? Ili nikae mkao wa kula,. Ngoja niandike jina la mama yangu mzazi kila kitu hadi simu yangu
Watu mkiwa mnatafuta matatizo huwa mnatumia kila aina ya mbinu kuyapata hata iweje. Sasa kwan hapa tunaongelea kitu gani, yaani unaambiwa usinywe Coca-cola wewe unauliza "hata ya kopo?" Sasa ya kopo ni chai ya maziwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu mkiwa mnatafuta matatizo huwa mnatumia kila aina ya mbinu kuyapata hata iweje. Sasa kwan hapa tunaongelea kitu gani, yaani unaambiwa usinywe Coca-cola wewe unauliza "hata ya kopo?" Sasa ya kopo ni chai ya maziwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
😀😀😀😀
Kiruuuu
 
Hao tena, si ndio mabingwa wa kujaza ndugu kwenye nyumba na ukitaka akulaani umwambie sitaki mazoea hapa.
 
I wonder. Mie sio mchagga lakini nakerwa na tabia za kuwasimanga wadada wa kichagga, ilhali tabia za namna hio zipo kila kabila. Hio ni character ya mtu mmoja mmoja, hasa kwente tamaa za mali.
Nadhani hata sisi unatukera sana kutuingilia katika kuwasema wadada wa kichagga.
 
Sasa mbona Tanzania haijaoa wachagga, hao wanawake wengine wazuri nao wote ni wachagga au basi umeamua tu kutetea? [emoji848]
 
Stage yeyote ukizubaa stress zinakuua suala ni wewe mwenyewe ulianza stress katika stage ipi
Stress ni mbaya sana kwa afya ya mwanaume especially umri unavyokuwa ukielekea utu uzima. Stress inaleta magonjwa yasiyo ya kuambukiza na kuudhoofisha mwili.

Ukiwa mbali na stress hata mwili wako kama mwanaume hauzeeki haraka. Wanawake stress wanazipenda ila hawaziwezi kuzibeba, ndio maana ukiishi nao anakuwa anakuhamishia wewe stress sasa usipokuwa na mke zaidi ya m'moja au michepuka zile stress zake zote anakubebesha wewe ili yeye ajiskie raha sasa. Na ndio maana wanaishi muda mrefu kuliko wanaume.

Tazama hawa wanawake wa kisasa wanaoishi wenyewe namna wanazeeka mapema, binti wa miaka 27 hadi 30 ukimuingia vibaya unaweza mwambia shikamoo kumbe mtoto wa juzi.

Wanaume wajitathimini sana katika kutegemea furaha yao itokane na mwanamke maana watatumia hiyo fursa kukucontrol wanavyotaka na mwishowe ni kukuacha na hali mbaya. Mwanaume uliyedhoofu hauna kazi kwa mwanamke tena atatafuta namna ya kukuacha ili apate mtu mpya. So hebu tufanye kama tunajiongeza kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…