Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

He's doing that kwa her significant other ONLY ila ingekuwa anafanya kwa kila mtu basi angekuwa kwa category ya wale wa grandiose

Ila asipoangalia anaweza akawa
Mazee mbona tunaombeana maombi mbaya hivyo.! SIWEZI KUWA narcissist aiseeh'..!
 
Naomba nikutane na mmoja atalia mpaka kamasi..!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na wewe kwa drama zako atajutaa....imagine anakuja kunililia nisipenda drama nabaki namshangaa tu
 
Hahahahahah wanaume wenye bitch dependency wapoπŸ˜…...Hahah

Kulia ni highest degree of mismanagement ya hisia zako. Mwanaume kumlilia demu ni utoto sababu huna control na upendo wake kwakoπŸ˜…
 
Hiyo ni disorder, tena akilini.
Hawaeleweki hawa viumbe
Kuna mmoja yeye starehe yale ni kupigwa makofi.
Zikipita siku3 bila kuzabuliwa makofi atatafuta chokochoko yoyote mradi atiwe makofi, hata kitandani anakwambia kabisa kitombo kwake hakinogi bila ya kumpelekea na makofi.
 
Hahahahahah wanaume wenye bitch dependency wapoπŸ˜…...Hahah

Kulia ni highest degree of mismanagement ya hisia zako. Mwanaume kumlilia demu ni utoto sababu huna control na upendo wake kwakoπŸ˜…
Ni zaidi ujinga!Yaani jibaba lenye swagger hizo natamani nilikate kata funua sema ndio uwezo SinaπŸ˜‚
 
Pole. It's all fun and games when you're doing to the other person. But when the tables turn...quick question: je wewe ungependa mtu akufanyie hayo unayofanya?
afanye tu, na kama nampenda ndiyo sitajali..!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na wewe kwa drama zako atajutaa....imagine anakuja kunililia nisipenda drama nabaki namshangaa tu
Haha,
atalia, atanyamaza kisha atalia tena..!!
 
Hawaeleweki hawa viumbe
Kuna mmoja yeye starehe yale ni kupigwa makofi.
Zikipita siku3 bila kuzabuliwa makofi atatafuta chokochoko yoyote mradi atiwe makofi, hata kitandani anakwambia kabisa kitombo kwake hakinogi bila ya kumpelekea na makofi.
Haha.
Hatueleweki lakini ndiyo mnatupenda kufa..!!
 
Factor......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…