Yaaan jana tuu tumejadili hapa usiku limenikuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]amenipigia usiku kama saa 5 iv eti hajapata usingizi kabisa,namuuliza nn shida eti anawaswas ntamuacha,hadi analia eti nikampigia video call namuona analia,nmemuambia mchana ajitajd tuonane ntaweletea mrejesho n nyege au n kweli anahisi ntamuachaHakika,
Mpe tu muda..!!
Utakuja kuachwa muacho mmoja... Matata hutaamini
Guys,
Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.
Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.
Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.
Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.
Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.
Hivi hili litakuwa tatizo gani?
Dah😂😂😂😂😂Kwenye text, akiwa anafunguka vile ndiyo furaha yangu, hapo atakuwa mkweli mpaka kuwa hataki kukupoteza sijui, Mimi ewaaah'...!!
inaonesha unapenda masihara, mapuuza na utani utani sana ee
Guys,
Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali.
Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.
Kisha nakaa pembeni, naanza kucheka yaani nacheka mpaka nalia lakini unakuta mtu kakasirika kweli na anakuwa anaamini tunagombana lakini deep down Mimi nipo zangu sawa, na nikimjibu namchokoza zaidi naye anaendelea kufunguka akiwa very serious, ila Mimi ndiyo raha yangu nimuone tu hivyo nafuraaahi.
Hii kitu siyo mara moja wala mara mbili, wala mara tatu, mpaka sasa naona hii siyo hali ya kawaida..!! Nikikaa zangu huko naanza zangu tu kuchokoza mtu, na nina enjoy ajabu.
Nimejaribu kuacha nashindwa maana nitajikuta tu tayari nishaanza kutafuta ugomvi ambao hata haupo.!! Yaani tukae muda kidogo hakuna purukushani.? Sijiskii kabisa nitatafuta tu chanzo na lazima nitakipata, nakaa pembeni na popcorn zangu naanza kuenjoy sasa.
Hivi hili litakuwa tatizo gani?
jamani kuna vya rohoni na vya mwiliniKitu pekee unapaswa ukule ni Neno la Mungu..!!
😂😂😂.@Hamritzer
Ona sasa,Watu wengi wanaumwa magonjwa ya akili,basi tuu huku bongo hawachukulii uzito sana ka wenzetu huko nje...Hawaeleweki hawa viumbe
Kuna mmoja yeye starehe yale ni kupigwa makofi.
Zikipita siku3 bila kuzabuliwa makofi atatafuta chokochoko yoyote mradi atiwe makofi, hata kitandani anakwambia kabisa kitombo kwake hakinogi bila ya kumpelekea na makofi.
Tabia ni kama ngozi ya mtu husika so sidhani kama utakuja kuacha iyo tabia ila jitaidi uache katabia ako
One of my exes alikuwa na tabia kama hizo, sometimes umelala anakuchokoza halafu anakimbia nje, au anakukera tu bila ya kuwa na sababu maalumu. Its kinda sexy, mwanamke anayependa utani na masihara anakera lakini anavutia kwa njia ya kipekee.
Umenikumbusha mbali sana. Hahah...
Kabisa [emoji23]NIKIWA MPENZI WAKO AFU UNILETEE MAMBO HAYO, UTANISIKIA KWA JIRANI
Kweli yaani hizi ban hata hatuzielewiHaha.
Hivi Extro, una nini lakini..? Kwanini kila siku ban unapigwa wewe ndugu yangu.?? Ukirudi naomba nijibu una tatizo gani.???
Akyamungu vile🤣🤣Unapoaje poaje ka uji wa magimbi eti..?? Inaboa sana hahaa..!