Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

[emoji23][emoji23]
 
Dah! Nakuacha asee, nina mpenzi wangu mpya na yeye naona ananiletea hizo, yaan mgomvi bila sababu, yaan yeye kazi yake kugombaaa tu dah! Nampenda lakini sijui kama kesho itapita sijamuacha nawaza tu ntakavyojisahaulisha mapenz yake
 
Haha..
Na napataga vijana romantique kweli..!
Unaambiwa nitakuzibua anaishia kuku kiss..!!

Jaby'z pita huku Mwaisa..!
Afadhali sasa awe yule wakutegeshea mlimani si anapata sababu ya kulala boxer haa haa haa
 
Kumbe shida ni hamu Jirani
mbona liko wazi jirani jamaniiii, ukiweza kumaliza hamu ya Ke walahi hakuna mahali anaweza geukia, kila muda na dakika utakuwa unazunguka tu akilini mwake

teh teh fanyia kazi utanipa mrejesho jirani
 
Wapo wanaume na wanawake wa hivyo

Kwa uzoefu wangu nimeona wababa ambao wanapenda kulianzisha kwa mke au watoto

Pia wanawake wanaopenda kulianzisha

Wapo watu hufurahia ugomvi,

Asipogombana anahisi kupungukiwa kitu fulani

Na hawa watu si katika ndoa tu ,

Hata katika jamii wapo,ni wakorofi,wakorofi hivi

Ni, Wagomvi ,wagomvi

Kisaikolojia,kundi hili la kitabia,

Linaitwa colelic (kama sijakosea herufi)

Ni watu wababe na wakorofi,

Ni watu wasio jali maumivu ya watu wengine

Hawa fit katika mahusiano mazuri,

Wanapendezea kuwa wanajeshi

Mwisho

Katika elimu ya kiroho,

Wewe kama unapenda ugomvi,ugomvi,

Bila shaka

1.Umelogwa ili usidumu katika mahusiano

2.Umevamiwa na kundi la pepo wabaya wanaokutumikisha

3.Umetamkiwa laana,na hiyo laana inakusumbua.

Hivyo nakushauri ,


Watafute Viongozi wa mambo ya kiroho wakusaidie.
 
Kuna watu huwezi kutupiga by nature, tumeumbwa tu kupendwa.!
Hili tatizo litakuja kukutesa sana mdogo wangu, badilika.

Sasa hivi unaweza kuona its all fun and games, lakini nikuambie tu tabia hiyo hua inachosha na inaboa balaa. Binafsi mimi nimeshapiga chin wanawake wengi warembo wenye tabia kama hiyo.

The thing is, saiv maisha yenyewe tu ni magumu, watu wanapambana na matatizo kibao, huku tena ukutane na mwanamke kila saa anaanzisha matatizo yasiyo na kichwa wala miguu! Aisee utachokwa haraka sana. Ofkoz mwanzoni mtu atajitahidi kuvumilia kwa mda, ila akishapiga mzigo mara kadhaa anachapa zake lapa.

UNLESS ukutane na mwenye kichaa kama chako of which bado ata sijui kama mtawezana?
 
My man is so sweet hawezi nigusa..!
Binadamu ana badilika acha kujidanganya.

Huyo anacho fanya ni KUVUMILia TU,akichoka lazima ajiengue.

Hakuna mwanaume anae penda mifujo fujo mikelele Kelele mikwaluzano kwaluzano wakati yapo mengi ya kufanya.

KUNA MMOJA KASEMA SOKO NI GUMU!UTAHENYEKA!!
 
Unajua mkuu hivi vibinti vikiwaga kwn ule umri wa ku shine (early 20s) na apo ukute ni kazuri zuri basi kanasumbuliwa sumbuliwa na wanaume, hua wanajiona kama watabaki hivyo forever. Badala ya kutumia hiyo opportunity kutengeneza fyucha na stable relationship, wao ndio nyodo, maringo, kama ivi ku toy na wanaume, samtaimz ata ku break up kirahisirahisi ilimradi tu anajua kuna msururu wa wanaume wako pending.

Kufumba na kufumbua anajikuta umri umeshamtupa mkono, wale wanaume wa maana wote aliokua anawachezea tayari wana familia zao, kila anapopita ni shkamoo ma mdogo, anti unaenda..? Shangazi vipi..? Hapo ndio akili zinakaa sawa kuanza kutafuta anaepumua 😀
 
Ahsante mkuu kwa ujumbe mzito..!!
 
Hawajui,Wenyewe wanajua tayari mwanaume washamkamata na hawezi kukoroma,Wasijue mambo Huwa Yana badirika.

Halafu badaee ana andaa thread ''Niliishi nae miaka 10 lakini kaniacha"

Kakuacha Kwa ujinga wako mwenyewee.

Uvumilivu umemshinda.

NA WANAUME TUNAVYO WEKA VITU MOYONI!! HATA SABABU HATUKWAMBII YA KUKUACHA,UTAENDA KWA MWINGINE AKUACHE NDO UTAJUA SHIDA NI WEWE[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Ahsante mkuu kwa ujumbe mzito..!!
Mwanaume mpaka kukuweka ndani wewe,usidhani haoni wengine.Ni heshima tu hiyo.Na kuwa na wewe siyo kigezo cha kusema kwamba ndo hawezi kuwa na mwingine.

Una jimwambafai kuwa man wako hawezi kukupiga,Kwa kudhanii wewe ni spesho!au wewe ndo limit yake eeh!

Yani man wako kuona amekereka ndo furaha yako??[emoji848] Ivi usha muuliza kama ana penda unavyo mkera.Au ni furaha yako tu wewe halafu kwake ni kero

GAME NI GUMU!

"Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyeweeee"
 
Pole pia mkuu kwa changamoto unazozipitia, nimeumia sana..!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…