Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Utani wa hivyo alikuwa nao demu mmoja
Napenda utani ila sio wa kupitiliza sana
Ila mwisho siku moja kanitania sana na mimi nimechoka nilichomfanyia alishtuka sana ila baadae akaja kuniambia eti nirudie tena nikamwambia unataka kunifungulia kesi akacheka sana na kusema kumbe ukifanya umekasirika tamu hivyo
 
Tofauti yako wew na wachawi ni moja tu, wao wana tunguri, wew sizani kama unazo.

Tafuta mwanasaikolojia akusaidie, hilo tatizo baya sana la kufurahia maumivu ya mwenzako.

Ombea usije deti na wanaume waliovurugwa, nasemaje utajipunguzia siku za kuishi....yaan tutakuita marehem soon
 
Siku udungwe kisu maratatu uingie kwenye list kafa kisa penzi

pia acha hiyo njia unayotumia kujua mwezako hua anachukuliaje mizinga unayompigaga
 
Kama itaambatana ngwala ikisindikizwa na ulaji wa mbususu basi haina shida kabisa😅
 
Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua.
....Aisee...nitafute nikuombee hiyo roho ya uchokozi ikutoke.
 
Tuko sawa mkuu..mm pia juz wken kaniletea za hivyo..alioga makofi na mitama ya kutosha...yaan unaona kabxa mtu anaku discomfort hadi mwsho af yy anajichekesha chekesha tu
 
We Ni mlokole?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Haha..!
Nashukuru kuna mtu anaelewa ile namna, ukianza kugomba gomba siye ndiyo tunapata amani walaqhi'..!
Kiukweli nilifurahia sana mahusiano yale, mimi si muongeaji sana kwa hiyo napenda mwanamke mcheshi na mchangamshaji. Wanawake wa hivi wengi wanakuwaga na upendo sana, na wanavyokera wanakuwa wanaongeza amshaamsha ya mapenzi kama pilipili kwenye mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…