Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Hahahahahah sasa huyo binti mtoa mada yeye anakuwa na gubu tu! Ila ukipata moto yeye ndio anapata relief
Haha...
We phaller, gubu me ni kitu sina sababu mpaka unione nimekasirika siyo Leo..!
 
Hahahhah! Mkuu umechukulia serious komenti yangu ile?.

Mimi nawataka nyinyi maana nimeshapitia hali kama hii na ikabidi na mimi nianze mahaba ukorofi, Kikubwa ni kumuelewa mtu na kukubali.
Haha.
Ewaaah'...! Now you're talking like a real man sasa..!! tupende tu sisi sisi..!!
 
Nikiandika comment yangu utahisi nakutania...

Acha niwe msomaji tu.... ulichoandika mleta uzi ndio maana halisi ya GUBU
Hapana mpendwa, sina gubu maana huwa nacheka tu mtu akipanic ila Mimi huwa si mwepesi kukasirika..! Na hata nikiudhika dakika mbili mbele nishacheka..!!
 
Umerithi kwa mzazi au wazazi...but it's too risky unapokuwa na mahusiano na mtu asiyependa ugomvi
Sijarithi kwa mtu, me sipendi kugombana, napenda tu nimchokoze mtu nikae nimuangalie anavyo-fume me nakuwa zangu tu sawa sahiyo..!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] walishindwa wenzio,,, hii ni Bismarck battle ship,, ma'am try me and you'll see
Haha,
Walishindwa hao siyo Mimi..!! Halafu ninyi wabishi hivi ndiyo nawapendaga hatari..! Nakuliza mpaka kamasi.!
 
Hahahaa....
kanakuwa mchanganyiko wa hasira na utamu..!
Mm mwenyewe nlitaka kusema hivi,ujue wanawake nyie mkiwa na nyege mnakua na tabia tofauti,mwanamke nliezaa nae anaeza akaniletea kisiran zaidi ya week 2,kila siku mfululizo,lkn nikishahisi nikajiiba nikaenda mtia ipasavyo kisiran chote kinaisha

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mungu awalinde mnaotuelewa hivi pia akii..! Msalimie bbymama.!
 
Sijarithi kwa mtu, me sipendi kugombana, napenda tu nimchokoze mtu nikae nimuangalie anavyo-fume me nakuwa zangu tu sawa sahiyo..!
Daaah aisee, ila its very interesting, unahitaji mtu anaekuelewa, sema ukikutana akina Muraaa utapasuliwa hako kasura[emoji1787][emoji1787]
 
Sio wewe tu ni wanawake asilimia zote hipenda kutest confidence ya mwanaume wake mara kwa mara,
napia huwa mnapenda kujuwa nani ana nguvu zaidi kwenye mahusiano yenu... yani mkiqchana sasas hivi nani ata poteza zaidi...
Basi kama ndiyo kutest confidence hivyo Mimi nimefaulu, maana napenda hatari..!
 
Daaah aisee, ila its very interesting, unahitaji mtu anaekuelewa, sema ukikutana akina Muraaa utapasuliwa hako kasura[emoji1787][emoji1787]
Hapo nakuwa mbali dear, nikiwa karibu mpaka mtu anashangaa mbona huwa hukasiriki eti.? Nina akili eti ohooo'..
 
Kwahiyo umewaacha 'wapendwa' wenyewe..!
nitakuombea tu , sasa kama hata bange unakula na ugali haya maombi mbona yatahitaji muda mrefu sana?

hahahahha lakini ile mboga ni tamu sana hata mimi nishakula
 
Mungu awalinde mnaotuelewa hivi pia akii..! Msalimie bbymama.!
Zmefikaa,,,ila wanawake mna mambo mengi sana,mfano kuna dame nadate nae sasa iv yeye hajawah kuniambia anahtaj dick,ila anaeza nambia nimsindikize mahali au tutoke out sasa nisipojiongeza lzma akasirike na kisiran cha kukerana haswa,sasa siku nikimtafuta ili tuyamalize tunajikuta tumekulana na hakuna cha msamaha wala nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hapo nakuwa mbali dear, nikiwa karibu mpaka mtu anashangaa mbona huwa hukasiriki eti.? Nina akili eti ohooo'..
Hahaha kweli una akili sana lol, mwanajeshi anaepigana vita akiwa mafichoni
 
Zmefikaa,,,ila wanawake mna mambo mengi sana,mfano kuna dame nadate nae sasa iv yeye hajawah kuniambia anahtaj dick,ila anaeza nambia nimsindikize mahali au tutoke out sasa nisipojiongeza lzma akasirike na kisiran cha kukerana haswa,sasa siku nikimtafuta ili tuyamalize tunajikuta tumekulana na hakuna cha msamaha wala nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sio rahisi kusema kama unavyodhani, kama kusoma hujuia tizama picha ati
 
Back
Top Bottom