Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Ahsante ila sipendi watu wanaokubali haraka jamani, hata sijatumia nguvu.!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aaaaah tayari,,,,, hadi hapa miss ushakufa,,move ulofanya ni clear kabisa,,, if ningekuwa kwenye relationship na ww,,, ukisikia aliingia kwenye 18,, ndo hapa sasa
 
Haha.
Hii kuacha inahitaji neema za Mungu, kwanza mapenzi yataboa bhaana..!

Ila tuache utani Mods wapo serious wameshaniwekea eti na kapicha..!!
Eeeh hekaheka muhimu kwenye mapenzi.. sasa usiombe upate mwanaume mpole.. mbona utalia.. we una ham ya kugombana afu mtu anakujibu tu 'ok' apo ndo utajua hujui 😂😂

Mods hawataki utani na kazi yao😂
 
Hapana mpendwa, sina gubu maana huwa nacheka tu mtu akipanic ila Mimi huwa si mwepesi kukasirika..! Na hata nikiudhika dakika mbili mbele nishacheka..!!

Sawa Mkuu...

Kama inakupa raha endelea nayo tu,,, but uwe unamwambia mtu mapema kabisa usije ishia kuchomwa moto,,kupigwa risasi,, kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ukasababisha matatizo kwa kijana mwenzetu utakayekuwa nae....

Weka wazi mapema kuepusha shari... Ila ipo siku utakutana na atakayekupuuza nafikiri mabadiliko yataanzia hapo
 
Eeeh hekaheka muhimu kwenye mapenzi.. sasa usiombe upate mwanaume mpole.. mbona utalia.. we una ham ya kugombana afu mtu anakujibu tu 'ok' apo ndo utajua hujui 😂😂

Mods hawataki utani na kazi yao😂
Hahahhahhaaaa..
Jamani inauma hiyo kwa watu wachokozi kama sisi, sasa okay ndiyo nini..? Tutapata raqha sangapi.??

Mods wako serious walaqhi'...!!
 
Sawa Mkuu...

Kama inakupa raha endelea nayo tu,,, but uwe unamwambia mtu mapema kabisa usije ishia kuchomwa moto,,kupigwa risasi,, kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ukasababisha matatizo kwa kijana mwenzetu utakayekuwa nae....

Weka wazi mapema kuepusha shari... Ila ipo siku utakutana na atakayekupuuza nafikiri mabadiliko yataanzia hapo
Nikiwa karibu ni mpole, vurugu nazifanyia tu mbali..! Niliwahi fanyia mmoja huo ujinga akaniambia nikikushika nakuchapa vibao, tumeonana namuangalia kwa huruma nikamuambia nimekuja tu unichape kama ulivyosema, akaishia kunibusu..!!
 
Hahahhahhaaaa..
Jamani inauma hiyo kwa watu wachokozi kama sisi, sasa okay ndiyo nini..? Tutapata raqha sangapi.??

Mods wako serious walaqhi'...!!
Yani iyo ok inazua jambo jipya kabisa

😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aaaaah tayari,,,,, hadi hapa miss ushakufa,,move ulofanya ni clear kabisa,,, if ningekuwa kwenye relationship na ww,,, ukisikia aliingia kwenye 18,, ndo hapa sasa
Hahahahaaa..
Wewe siwezi kukuacha hivi hivi lazima nikukomoe..
 
Si dharau kabisa hizo jamani..??
Dharau kubwa sana..
Siku nyingine nliishia kuitiwa toyo na kupandishwa kwa nguvu saa 7 ya usiku nirudi kwangu😂😂😂 ila nlishukuru maana ilikua napigwa iyo siku yani sio kwa uchokozi ule ..

Yani imagine umeanzisha jambo afu mtu kakujibu ivo.. nkaona weeh usnitanie kabisa.. iyo ni saa 4 usiku.. nkatafuta toyo nkamfata kwake alooh😂😂😂😂😂
 
Hii inaboa sana, mtu hata asione wivu.?? Asikupige mabeat unaenda wapi, kuonana na nani, kwanza umevaaje hivyo.?

akuruhusu tu.?? Inakera bhaana..!
Ukiona hivyo hupendwi au mapenzi yashaisha
Huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom