Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aaaaah tayari,,,,, hadi hapa miss ushakufa,,move ulofanya ni clear kabisa,,, if ningekuwa kwenye relationship na ww,,, ukisikia aliingia kwenye 18,, ndo hapa sasaAhsante ila sipendi watu wanaokubali haraka jamani, hata sijatumia nguvu.!?
Eeeh hekaheka muhimu kwenye mapenzi.. sasa usiombe upate mwanaume mpole.. mbona utalia.. we una ham ya kugombana afu mtu anakujibu tu 'ok' apo ndo utajua hujui 😂😂Haha.
Hii kuacha inahitaji neema za Mungu, kwanza mapenzi yataboa bhaana..!
Ila tuache utani Mods wapo serious wameshaniwekea eti na kapicha..!!
Hapana mpendwa, sina gubu maana huwa nacheka tu mtu akipanic ila Mimi huwa si mwepesi kukasirika..! Na hata nikiudhika dakika mbili mbele nishacheka..!!
Hahahhahhaaaa..Eeeh hekaheka muhimu kwenye mapenzi.. sasa usiombe upate mwanaume mpole.. mbona utalia.. we una ham ya kugombana afu mtu anakujibu tu 'ok' apo ndo utajua hujui 😂😂
Mods hawataki utani na kazi yao😂
Nikiwa karibu ni mpole, vurugu nazifanyia tu mbali..! Niliwahi fanyia mmoja huo ujinga akaniambia nikikushika nakuchapa vibao, tumeonana namuangalia kwa huruma nikamuambia nimekuja tu unichape kama ulivyosema, akaishia kunibusu..!!Sawa Mkuu...
Kama inakupa raha endelea nayo tu,,, but uwe unamwambia mtu mapema kabisa usije ishia kuchomwa moto,,kupigwa risasi,, kupigwa kipigo cha mbwa mwizi ukasababisha matatizo kwa kijana mwenzetu utakayekuwa nae....
Weka wazi mapema kuepusha shari... Ila ipo siku utakutana na atakayekupuuza nafikiri mabadiliko yataanzia hapo
Yani iyo ok inazua jambo jipya kabisaHahahhahhaaaa..
Jamani inauma hiyo kwa watu wachokozi kama sisi, sasa okay ndiyo nini..? Tutapata raqha sangapi.??
Mods wako serious walaqhi'...!!
Hahahahaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aaaaah tayari,,,,, hadi hapa miss ushakufa,,move ulofanya ni clear kabisa,,, if ningekuwa kwenye relationship na ww,,, ukisikia aliingia kwenye 18,, ndo hapa sasa
Not really, only a special pack for you ladey!😍Uchokozi wako wewe itakuwa ni mkusanyiko wa mauchokozi yote dunia nzima am afraid..!
Hahahahahah nomaHii inaboa sana, mtu hata asione wivu.?? Asikupige mabeat unaenda wapi, kuonana na nani, kwanza umevaaje hivyo.?
akuruhusu tu.?? Inakera bhaana..!
Y O U C A N ' THahahahaaa..
Wewe siwezi kukuacha hivi hivi lazima nikukomoe..
nikamuambia nimekuja tu unichape kama ulivyosema, akaishia kunibusu..!!
Dharau kubwa sana..Si dharau kabisa hizo jamani..??
Ni kwa sababu ya kuwa negative sana Sasa hivi kelele sitaki pia namuhurumiaHaha..!!.
Umewezaje jamani..? nataka na Mimi nibunu mbunu..!
Ukiona hivyo hupendwi au mapenzi yashaishaHii inaboa sana, mtu hata asione wivu.?? Asikupige mabeat unaenda wapi, kuonana na nani, kwanza umevaaje hivyo.?
akuruhusu tu.?? Inakera bhaana..!