Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

Ukisikia drama queen ndio huyu ukiwa na manzi ya aina hii hakuna rangi utacha kuona yani ni full mapichapicha kila kituko cha kwenye movies & series atataka kuapply kwenye real life
 
Hahaha...with whoever hasa nyie viumbe..Aisee mimi sipendi sana malumbano...Siyawezi.
Kuna muda malumbano yanaongeza maqhaba, shauriro.! Mtu mnakaa miezi mmepoa ka uji wa magimbi sa ndo nini..!
 
Ukisikia drama queen ndio huyu ukiwa na manzi ya aina hii hakuna rangi utacha kuona yani ni full mapichapicha kila kituko cha kwenye movies & series atataka kuapply kwenye real life
Ila trust me you'll have the adventurous life ever...! try em and you'll testify..!
 
Kuna muda malumbano yanaongeza maqhaba, shauriro.! Mtu mnakaa miezi mmepoa ka uji wa magimbi sa ndo nini..!
Kwa watoto sawa ila kwa sie watu wazima noo way..We enjoy calmness always.
 
Kiufupi furaha yako ni kuona mtu kakasirika sio?

Akikasirika na ukazidi kumkasirisha mwisho wa siku mnamalizaje?
Utakuwa na mapepo sio bure, nenda kwa mwamposa ukakanyage mafuta.
 
Back
Top Bottom