Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Mimi sitofautishi.

Mwanaume mwenye Maadili havai pens Wala vikaptula hadharani.

Hili wimbi tukiendelea kuliacha bila kukemea, Mwanaume atatafutwa Kwa tochi siku Si nyingi.
Kwa hili la pensi nakupinga Mkuu. Pensi hasa zile zenye mamifuko cadet, zile ni standard kabisa. Sio na vile vya kubana makalio vya juu ya magoti. Vile ni vya kichoko kabisa.
 
Zamani hapakuwa na USHOGA uliokithiri.

Tunachokifanya ni kuchora line, tujue wanaume ni wangapi, na WA kiume ni wangapi!!
Na ukishajua itakusaidia nn? Ushoga ndo unakutesa hivyooo?
Bas poleee mwayaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora mumpe na uthibitisho huyu jamaa, akome kukurupuka
 
Honestly mimi nitakuwa nimepungukiwa maadili, binafsi naona zikiwa juu ya goti kidogo hazina shida, tena ME awe na miguu imekomaa kama mpanda milima weee! [emoji39]

Sorry, mmesema huu uzi wa wanaume enhe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi,mkuu(mleta mada)! Kwanza nimekuhishimu kwa ustaarabu wako,sijaona matusi kama wengine walivyo. Leo hii,ukienda maduka yote ya nguo,jeans zote si kama za kike(za kubana miguu na matako)!!! Mi naonaga bora hizo pensi kuliko zile suruali za dada zetu.
 
Huyo jamaa vinjunga vilimkataa wallah, ana makasiriko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivyo vipensi vifupi ni kwa ajili ya utambulisho.
Zanzibar ukija kisha tembelea sehemu za starehe hizi wanatumia mashoga kujitambulisha kwa watalii.
Hizi mambo walileta wazungu wabongo ni wazee wa kuiga tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…