DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ilibadilika mwaka 1964 kuelekea 65 baada Ya Jeshi la King'S Riffle kuondolewa kutokana na kutaka kumpindua mwamba..Kabla ya uhuru enzi ya ukoloni walivaa,
Nyerere alibadili tulipojitawala.
Vipensi vinavyofedhehesha wanaume vilivyoongelewa ktk mada hii umevifahamu?Ilibadilika mwaka 1964 kuelekea 65 baada Ya Jeshi la King'S Riffle kuondolewa kutokana na kutaka kumpindua mwamba..
So likaanzishwa jeshi jipya JWTz japo mwanzoni walikuwa wanavaa Hivyo hivyo ila baadae walibadili kutokana na kutaka kuwa tofauti..
View attachment 2885492View attachment 2885493View attachment 2885494
View attachment 2885495
View attachment 2885494
Kuvaa mavazi ya kichoko ndo utajiri?Una roho ya magufuli wewe, kutaka watanzania wote wawe masikini
Hapana mkuuVipensi vinavyofedhehesha wanaume vilivyoongelewa ktk mada hii umevifahamu?
Ndo inabidi tukemee,Kwa hili la pensi nakupinga Mkuu. Pensi hasa zile zenye mamifuko cadet, zile ni standard kabisa. Sio na vile vya kubana makalio vya juu ya magoti. Vile ni vya kichoko kabisa.
MADA inaeleweka.heading unakataa pensi, habari inakataa pensi juu ya magoti...hausomeki.
Iki hivi pensi/kaptula haina shida kabisa ilimradi iwe ya staha. Unaweza ukavaa kisuruali bana msuli na nyeti zikavimba naukaonekana wa hovyo. Hoja ni kuvaa mavazi ya staha, bila kujali ni pensi au suruali!
Unless wewe ni msabato, kaptula hazina shida!
Comment No 205, Kuna picha yenye pens isiyo na Maadili.Hapana mkuu
Acha ubishi MADA inaeleweka.Namimi nikksema wanawake wanaovaaa suruali na vipedo plus vikuku wanajuza Kwa hiyo muache kuvaa nitakuwa nimekosea???
π€£π€£πππππComment No 205, Kuna picha yenye pens isiyo na Maadili.
Watoto wetu wavulana nao wanaiga skuizi wakidhani ndo fashion, wanashindwa kutofautisha.
Wacha wee unazeeka kijanjaπNimeshangaa sana mkuu, binafsi nikiwa home na mazingira yanayofaa ni mwendo wa pensi
Wanawake mmeshindwa kabisa kutulia!!Wenzenu wanajiita makomando vipensi nyie mnasema ushogaπ
Dah!!!! πππππ,hivi cocastic ,kuna mwanamke siku hizi hadangi?Mwanamke anayevaa nguo za mapaja wazi, na huyu anavaa vizuri ila ni Malaya yupi ana afadhari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanaume wanaovaa hivi wanatafuta sokoMad Max ππ napendaaaga vya hivyo. Uliwakaa π₯π€
Ambavyo havitakiwi ni km hiviView attachment 2885267
Wanaume acheni kuwakaribisha wanawake kwenye kikao Cha wanaume.Dah!!!! πππππ,hivi cocastic ,kuna mwanamke siku hizi hadangi?
Sema tu hawakubali,hata upige na kitu kizito.
Kina furani hujifanya walokole,wanaongea mambo ya maana,pumba za JF ni upupu mwanzo mwisho, ma single m....na mitoto kama 4 ππππ
Sasa mkuu, wanachungulia na wanajialika,utafanyaje!Wanaume acheni kuwakaribisha wanawake kwenye kikao Cha wanaume.
Wachunie, watatuharibia kikao.Sasa mkuu, wanachungulia na wanajialika,utafanyaje!