DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ilibadilika mwaka 1964 kuelekea 65 baada Ya Jeshi la King'S Riffle kuondolewa kutokana na kutaka kumpindua mwamba..Kabla ya uhuru enzi ya ukoloni walivaa,
Nyerere alibadili tulipojitawala.
So likaanzishwa jeshi jipya JWTz japo mwanzoni walikuwa wanavaa Hivyo hivyo ila baadae walibadili kutokana na kutaka kuwa tofauti..