Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Woiiiiiiih hebu sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukivaa chumbani hakuna atakayekubughudhi,

Ukivaa hadharani lazima niruke nawe,

Nisipokemea TABIA hizi, Binti yangu anaweza kupata mchumba shoga ikawa laanatul!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa binti yako kupata mchumba shoga tatizo lako nn? Una uelewa finyu kuhusu ushoga.
 
Kwa waliozaliwa 1990 kurudi nyuma, kuvaa pensi na kutembea mtaani ni ajabu.

Ila hawa watoto wa 2000 ni janga.
 
Kwa miguu yangu hii yenye gimbiz za kutosha sijawahi kuwaza kutoka na pensi kwenda nje...
 
Nna mpensi nyanya wangu huo
Naupigaga na sneaker juu napiga t-shirt na kofia flani zile za kama ally choki ukiniona nakuja kama Malecela son American nigga you know
HUTAKAA UJUE MIMI NI DALALI
 
Nna mpensi nyanya wangu huo
Naupigaga na sneaker juu napiga t-shirt na kofia flani zile za kama ally choki ukiniona nakuja kama Malecela son American nigga you know
HUTAKAA UJUE MIMI NI DALALI
Usidharau KAZI ya dalali,

Hata Rais ni dalali wa wananchi, agent. Muhimu usajili,ulipe Kodi, usitapeli wateja wako.

Anyway, mavazi ya staha na Heshima ndo muhimu.
 
Naweza kuwa yeyote hapo inategemea na muda, mazingira na tukio.
Siku Si nyingi, utaadhibiwa,

Utakapokuwa kitandani mgonjwa, kumbuka ujumbe huu na unitafute nikusaidie.

Tunza ujumbe huu.
 
Zamu ya wanaume, wanawake tumepewa break [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…