Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Mkuu vipi na kwa wale wasukuma wa majimoto wanao vaa sketi,ungewaona nadhani usinge anzisha huu uzi wako
 
Zamani ulikuwepo? Tuanzie hapo kwanza.
 
Kuna siku nakatiza mitaa flani, basi nikaona watu kwa mbali wamekaa.

Mmoja nikamwona ana bonge la paja jeupeeee, hadi nikasisimka.

Kufika karibu yao kumbe jamaa kiumeni, nilimtukana kimoyomoyo yule jamaa
 
Badala ya kukemea tabia ya ufisadi na matumizi mabaya serikalini zinazoongeza shida na dhiki kwa watanzania.
Unakemea wanaume kuvaa pensi?
Akili za wapi hizi??
 
Badala ya kukemea tabia ya ufisadi na matumizi mabaya serikalini zinazoongeza shida na dhiki kwa watanzania.
Unakemea wanaume kuvaa pensi?
Akili za wapi hizi??
Acha Ujinga jikite kwenye mada.

Umeona jukwaa la siasa hili?
 
Sawa mm mjinga wewe wewe lipumbavu.
Kwa hiyo wizi serikalini ni suala la kisiasa??
Inahusiana nini na mada hii?

Wanaume ni Bora tujiheshimu, mavazi ya kipuuzi yasiyo na staha yasivaliwe hadharani.
 
Vipi zamani walivyokuwa wakivaa magome ya miti??
 
Vipi zamani walivyokuwa wakivaa magome ya miti??
Vipi Bustani ya Eden walivyoishi bila nguo na wakaendelea kuwa hawana dhambi mbele za Mungu?

TUMIA akili vizuri kupambanua mambo.
 
Millard Ayo anapenda kuzivaa kuna kipindi cha miaka ya 2000 ya kati zilitrend kinoma hata mie nakumbuka nilikuwa nazo kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…