Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Mimi sitofautishi.

Mwanaume mwenye Maadili havai pens Wala vikaptula hadharani.

Hili wimbi tukiendelea kuliacha bila kukemea, Mwanaume atatafutwa Kwa tochi siku Si nyingi.
Pensi bado nakupinga mkuu. May be kama wewe umetokea mikoa yenye baridi kali lakini kwa sisi wa Dar hapana. Unavaa jinsi kutwa nzima, joto kali, mambupu yanabana kwa kukosa hewa. Kuna muda you need to rest aisee
 
Vile vinjuga mhhh hapana aiseh
 
Kuna pensi na vipensi Shem Bae

Unakuta Mwanaume kavaa kipensi kipo mapajani,kinambana, Makalio yamebanwa, kitu yake imebanwa, hadi fedheha.
Huyo si anakuwa ameleft gender shem bae!!🤣
Mwanaume kuvaa pensi inabana hadi makalio, mapaja na "kitu yake" anatangaza nini hapo.
 
Kuna pensi na vipensi Shem Bae

Unakuta Mwanaume kavaa kipensi kipo mapajani,kinambana, Makalio yamebanwa, kitu yake imebanwa, hadi fedheha.
Wanawake Wana taabu sana enzi hizi!!

Hivi unaanzaje kumshauri mumeo asivae kikaptula kinachobana makalio, jambo ambalo Yeye ndo alitakiwa asimamie Maadili ya familia!!
 
Kwa mazingira ya dar pensi naa tshit ni sawa ila alichopaswa aweke mtoa mada ni kuwa pensi ya kiume inapaaswa kuwa kati ya goti kwenda chini sio kuachia mapaja
 
Kwa mazingira ya dar pensi naa tshit ni sawa ila alichopaswa aweke mtoa mada ni kuwa pensi ya kiume inapaaswa kuwa kati ya goti kwenda chini sio kuachia mapaja
Pens ya kiume na ya kike sijawahi kuviona au kutofautisha.

Pens ni mavazi ya chumbani. Kuyaleta.mavazi ya chumbani hadharani, ni utovu wa nidhamu na kukosa Maadili.
 
Huyo si anakuwa ameleft gender shem bae!![emoji1787]
Mwanaume kuvaa pensi inabana hadi makalio, mapaja na "kitu yake" anatangaza nini hapo.
Si ndiyo Shem Bae...

Wa hivyo wame'left group indirect ways..
 
Pens ya kiume na ya kike sijawahi kuviona au kutofautisha.

Pens ni mavazi ya chumbani. Kuyaleta.mavazi ya chumbani hadharani, ni utovu wa nidhamu na kukosa Maadili.
Ww sasa usijekuwa msabato huwa mnamamisimamo ya kipuuzi.swala ni mtoto wa kiume uchi wake unaanzia magotini mpaka kifuani .pia asivae nguo ya kubana.ila mengine chaguo la mtu mkuu uhai ni zawadi ya mungu unappaaswa uenjoy usivae suti ukiwa beach .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…