Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Mkuu kuna wanaume siku hizi wana shape..chunguza vizuri.
Kuna wenzetu vinawabana hata ukiwa na Mama watoto anauliza yule ni Mbaba au mbona ana tako hivyo na hicho kipensi kilivyombana sasa.
Kuna shida pahalaa.
 


Ni issue ya utamaduni, uache ujinga
 
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paragraph ya mwisho, umemaliza kila kitu
 
Kuna pensi na vipensi Shem Bae

Unakuta Mwanaume kavaa kipensi kipo mapajani,kinambana, Makalio yamebanwa, kitu yake imebanwa, hadi fedheha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa dada kipensi avae mwingne, fedheha uone wee? Kwelii?
Naamini haujamaanisha.
 
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi,sipendi mavazi yasiyo na staha. Lakini,kama mvaaji kaamua mwenyewe,unamtafuta ubaya wa nini? Leo hii,wapo wanaokaa na kujiachia,hata chupi hawajavaa. Utalalamikia wangapi?! Wapo wanaotembea na nguo za ndani tu. Si watoto,si wakubwa.
Kama ilivyo,kila mwanamke anavyovaa au maisha anayoishi,ana limbukeni anaempenda hivyo alivyo au alivyovaa,na mwingine humuomba avae hivyo hivyo.
Na kwa wanaume au watoto wenye uume, kina anaejiona akivaa hivyo,ndo anapendeza(anaetaka atazamwe au aongelewe).
Ameona wanaovaa mlegezo na nguo za dada zao hawana shida,ila pensi tuuu.
Mi nahisi hapa tatizo kubwa ni kuingilia uhuru wa watu au kuchunguza maisha yasiyomhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…