Hahahahaha kwa hiyo,wale wazee wanaotembea na vinguo sijui wanaita msuri,hawajielewi eh! Kama kungekuwa na uwezekano wa kurudisha siku nyuma,watu wakishaulika,wakiona aibu,hii mada ingeweza kuwa msaada mkubwa. Leo hii,mwanamke anajidanganya akijichubua ndo atapendwa, hapo hapo mshikaji nae anajiona akitoka na pajama,amefit na kuwa kioo. Wanamchukulia hivyo,mwambie sasa uone mvua ya matusi itakayokushukia.Huyo jamaa vinjunga vilimkataa wallah, ana makasiriko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchina nae anajua,wa Afrika ma Zombi, ndo pa kupiga hela,anatengeneza hivyo vipensi na anauza.
Vya kukemewa ni vingi,na kila mtu huwa na style yake,binafsi naweza vaa hizo pensi kuliko hizo jeans.